Habari zenu Wana jf?
Kuna swali huwa najiuliza lakini nakosa jibu sahihi,nikaona si vibaya swali/jambo hili Nika wahusisha na ndugu zangu wa humu jukwaani.
Jambo lenyewe si geni saana Ni hivi, Kuna TEKNOLOJIA Fulani ya kuendesha mitambo yaani namaanisha injini kwa kutumia maji...
pole sana kwa yanayo kusibu lakini cha msingi jaribu kuangalia maisha unayoishi na wanaokuzunguka pia jitazame wewe makundi unayoambatana nayo, je yanakustahiki?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.