Recent content by abdulatif himid

  1. abdulatif himid

    Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi

    Kwa hiyo ukioa Iramba na wewe unakuwa mnyiramba?
  2. abdulatif himid

    PreGE2025 John Heche achochea vurugu kwenye mikutano, wananchi wapokea kichapo na kuumizwa

    Ustaarabu Gani? Mbona kwenye mikutano ya chaumma wanaenda watu wa chadema na wanasema slogan zao na hakuna anayewazuia? Kwa nini wakienda wengine kwenye mkutano wa chadema na wanakasema slogan zao waonekane wanaleta vurugu au wametumwa?
  3. abdulatif himid

    PreGE2025 John Heche achochea vurugu kwenye mikutano, wananchi wapokea kichapo na kuumizwa

    Kudhania kwamba Nchi nzima yenye watu milioni 65,wote wanakuunga mkono wewe na Chama chako hapo utakuwa huna tofauti na punguani. Watu Wana mawazo,misimamo,hulka na itikadi tofauti! Huwezi ukaja kwenye kufanya mkutano kwenye eneo letu la makazi,wewe ukiwa ndio mgeni,unafika na kuanza kutupangia...
  4. abdulatif himid

    PreGE2025 John Heche achochea vurugu kwenye mikutano, wananchi wapokea kichapo na kuumizwa

    Ninyi ndio mnasababisha watu wengi wenye akili timamu washindwe kuwaunga mkono,kama hamtaki watu wenye mawazo tofauti na nyinyi wasije kwenye mikutano yenu muwe mnasema tu. Sio kujinasibu Chama Cha demokrasia ilihali demokrasia yenyewe hamuitaki hata kuisikia! Hapo hamjamiliki hata mgambo...
  5. abdulatif himid

    Siasa mbovu za mama kuku katika jaa la taka, ndiyo chanzo cha mwewe kupora vifaranga wake

    Ndio shida ya kumpa KUKU mgeni tena "kishingo", Vifaranga wa "kuchi" ambao "mama" Yao mlikubali achinjwe kwa ajili ya "Wageni"! Hataona uchungu wowote wa kulea hivyo Vifaranga,ambavyo sio vyake na hafanani nao kwa chochote,kuanzia umbo mpaka tabia! Matokeo yake Vifaranga wameanza kupata...
  6. abdulatif himid

    Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Sijaona shida yoyote kubwa. Hao ni ndugu na hujui waliishi Maisha Gani kabla wewe hujawa Mke. kwa ukaribu huo waliokuwa nao wangekuwa wanatafunana Wala usingekuwa na mashaka,ungeona live kabisa!
  7. abdulatif himid

    Benki kuu ya Tanzania yapiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kufanya miamala ya ndani

    Hawana lolote hao,hicho kitengo Cha FIU wanakula mshahara wa Bure tu hapo BOT. Wachina na wakinga wanauza bidhaa kwa Dola kwa Wageni,Tena kwa bei ya juu kuliko bei iliyotolewa na BOT,Dola watu wanabadilisha tu barabarani tu kama tupo Congo! Sheria ya maduka ya kubadilisha fedha,inamruhusu mzawa...
  8. abdulatif himid

    Watu tumekuwa wakatili zaidi ya wanyama aisee

    Poleni sana kaka msangi,Mungu atakulipa kwa mema yote unayowatendea wenzako,inshallah.
  9. abdulatif himid

    Serikali yatangaza Kanuni zinazokataza Matumizi ya Fedha za Kigeni kulipia bidhaa au huduma nchini

    Benki kuu wasimamie vizuri pia sekta ya kubadilisha fedha. Wachina,wakinga na wahindi wanauza bidhaa zao kwa Wageni kwa kutumia Dola za kimarekani! Wachina siku hizi wanamiliki mpaka bureau de change,utakatishaji wanaofanya unatisha. Dola zinabadilishwa mtaani tu kama tupo Congo,black market...
  10. abdulatif himid

    Sasa nimeanza kuelewa kwanini nchi ya Cuba raia wake wote lazima wapitie mafunzo ya kijeshi!

    Sikiliza Mkuu,watu wamechagua kuwa kondoo sio kwa kuwa wao ni mafala au mabwege sana,NO! Watu wanajua Nchi Yao ilivyo ya hovyo,watu kukupoteza ni jambo la Kawaida na hakuna mtu yeyote atakayechukuliwa hatua! Siwezi kurisk Maisha yangu na future ya watoto wangu eti kwa sababu ya kumtetea mdude...
Back
Top Bottom