Mimi naomba niseme kuwa mtoto wa nyoka ni nyoka hawezi kuwa kunguru, uongozi ni damu pamoja na kuwa unasomewa mtoto wa kiongozi kuwa kiongozi si ajabu kwani ni damu yao. George bush kuanzia babu yake na babu yake alikuwa rais america kwa hiyo kenyata,karume,kabila,ridhiwani, makongoro,madaraka...