Hii naomba Serikali kupitia @wizara_elimutanzania , @owm_tz @ormipango_uwekezaji waone hili.
Nchini Tanzania sasa hivi kuna tatizo kubwa sana la upungufu wa Accomodation Hostels kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu. (Nyumba za Malazi kwa Wanafunzi). Hii ina maana ya kwamba vyuo vingi nchini vina...
Yaani Polisi Tanzania wanasema wanaanza uchunguzi wa video inayoonesha watu wakijaribu "kumkamata " na "kujaribu kumuingiza kwenye gari".
Polisi kwanini wanatumia neno kukamata? Kwanini neno kuteka wanalikwepa? Mfano hiyo taarifa wangeiandika kwa kingereza, wasingethubutu kuandika" Some people...
Mgambo ni Msaidizi wa Police (Auxiliary Police )anaweza kukukamata ila destination yake ni kukupeleka kituo cha Polisi ,hata wewe unaweza kukamata mhalifu kwa mujibu wa Sheria ya mwenendo wa Makosa ya Jinai kifungu cha 16 (Arrest by Private Persons) ikiwa kuna mtu ametenda kosa la Jinai mbele...
Tukio la kusikitisha sana limetokea Kiluvya Madukani -Dar ,katika Hotel ya Rovvenpec tar.11/Nov/2024. Ikionesha watu wakimteka Ndg. Deogratius Tarimo(Deo Bonge) na kumlazimisha kuingia kwenye gari.
Taarifa ya Polisi. Tanzania waliyoitoa leo tar. 13/Nov./2024 wanakiri kupokea taarifa ya tukio...
Dhamira na malengo ya kufanya mchakato wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi chini ya Serikali ya awamu ya sita ilikuwa ni kuboresha mazingira ya kiuchaguzi nchini kupitia mabadiliko ya Tume ya Uchaguzi ili kupata Tume huru ya uchaguzi ambayo viongozi wake wanapatikana kwa mchakato kupitia kamati...
Mimi, viongozi na wanachama kadhaa Jimbo la Kigoma Mjini ambao ni mgombea wetu udiwani kata ya Kasingirima ndug. Alumbula Khalidi, Alhaji Mzee Selemani Simba, Ntakije Ntanena na Khamis Mzungu tuliokamatwa na polisi siku ya uchaguzi wa kata ya Kasingirima-Jimbo la Kigoma Mjini tarehe 20/03/2024...
Naomba kuiambia serikali kupitia Wizara ya Elimu na Wizara ya mambo ya nje ,kuingilia kati suala hili la wanafunzi wetu waliopata ufadhili wa Elimu (Master's Degree ) nchini Poland.
Serikali ya Poland ina Program inaitwa NAWA- Stefan Banach Scholarship. (The Polish National Agency for Academic...
Tarehe.27/Novemba/2023 niliwasilisha malalamiko yangu kwa Kamishna Sekretariati ya Maadili ya viongozi wa Umma dhidi ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Babati Mjini Mh.Pauline Gekul juu ya tuhuma za unyanyasaji dhidi ya Hashimu Ally Philimone.
Kwa mujibu wa Sheria ya...
Sisi viongozi wa Jumuiya ya vijana kutoka vyama pinzani vitatu nchini Ngome ya Vijana ACT Wazalendo, Jumuiya ya vijana CUF (JUVICUF) na Jumuiya ya vijana -NCCR Mageuzi ambapo awali tulikuwa pamoja na viongozi wenzetu kutoka Baraza la vijana Chadema (BAVICHA) kuanzia hatua ya vikao hadi hatua ya...
Inatia moyo sana muitikio (Response) ya Serikali na idara zake huko Hanang(Katesh) , pia wadau na Wananchi wote kuungana na kujitoa kwa misaada ,nguvu kazi na Dua.Mungu awasaidie marehemu wote na wahanga.
Tukio lilotokea Katesh sio rahisi kulizuia kama halijawahi tokea. Hivyo hatua ambazo siku...
Kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Maadili ya viongozi wa Umma Sura. No.398( R.E 2020) kifungu cha 25(1) kinachotoa fursa kwa mtu yeyote kuwasilisha malalamiko yake dhidi ya kiongozi wa Umma juu ya uvunjifu wa sheria ya Maadili ,pia kwa mujibu wa Katiba 1977 ibara ya 26(2) inayotoa agizo la...
Tayari Bungeni limesoma miswada hii kwa mara ya kwanza Novemba hii ,hivyo kutoa fursa kwa wananchi,vyama vya siasa,wadau na wana demokrasia kuchambua ,kujadili na kubainisha maeneo yenye upungufu kabla ya Januari/ Februari 2024 ambapo itasomwa kwa mara ya pili.
Ni muhimu sana Wananchi wote...
Taarifa kwa wanafunzi 238 wa Samia Scholarship 2022/2023 ambao wamepata chini ya GPA ya 3.8.
Leo tar.2/Novemba /2023 niliandika taarifa ya kwamba wanafunzi 238 kati ya 640 ambao wana ufadhili wa Samia Scholarship ambao wamepata chini ya GPA ya 3.8 na hivyo kuambiwa wameondolewa kwenye ufadhili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.