Recent content by abdul muhammed

  1. A

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi Kitabu cha Mwinyi: Sitawasahau Maalim Seif, Mrema na Mtikila katika utawala wangu

    Kuna masuala kadhaa alitakiwa ayaweke wazi ili aaminike. Hivyo katika kupiga kura katika vikao vya CCM kuna kura tafauti kati ya Wapemba na Waunguja. Wakati jumbe anafukuzwa Maalim Seif alikuwa na madaraka gani Zanzibar hata aweze kuingia ikulu.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Spika mstaafu Pius Msekwa aungana na Ndugai, Kuhusu Lissu kuvuliwa ubunge

    Matatizo ya wabunge 50 waliofukuzwa na Msekwa wote walikua CUF waliamua kususia bunge kwa kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais wa Zanzibar 1995
  3. A

    JamiiForums Tanzania Rushwa TRA: Suluhisho ni kukirudisha chuo cha kodi katika misingi yake vinginevyo makamishna watatumbuliwa kila siku

    Umesema ndivyo kuhusu dhamira ya ITA na hakukuwa na walimu maalum ile wale maafisa wa Kodi wazoefu ndio wahadhiri kwa kuwapa uzoefu wao maafisa wapya
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kingunge Ngombale Mwiru: Nilitofautiana na kupata matatizo na viongozi wa kanisa Katoliki, Nikaacha kwenda Kanisani

    Kwa Zanzibar wako waasisi walio bakia ukiwachilia Mzee Moyo Salum Rashid Mauly huyu ni mtu muhimu alikua katibu mkuu wa mwanzo wa Baraza la Mapinduzi (Cheif Secretary ) aliendelea na nafasi huyu mpaka Muungano unaundwa
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania imenyimwa msaada wa fedha za MCC?

    Nakubaliana na maneno ya Muheshimiwa Rais kua tusikubali misaada yenye masharti. Ila ni vizuri kama watayaweka hadharani hayo masharti yenyewe tujuwe ni kwa maslaha ya wafadhili au ya watanzania kama ni yetu jee serikali imeyahishimu au la na kwa faida ya nani.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakunaga, aokoa trilioni 1 kwa siku 30!

    Pale gazeti kubwa kama hili linapo andika habari ambazo hazikufanyiwa utafiti wa kutosha ni aibu. Kwa mujibu wa kauli ya kamishna mkuu wa TRA containers 329 zilikua na kodi ya 12.7 billions na sio 80 billion kama unavyotaka yeye tuamini na akachukua hesabu ya 229 milion kwa kila container kama...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Haya maswali ya Jussa, hakuna mwenye uwezo wa kuyajibu!

    Kwa Zanzibar kila kituo ni watu 350 tu
Back
Top Bottom