Nipo hapa nawaza vp tapata kazi ila wadau hawezi kunitupa nipo moshi mwenye biashara zake supermarket maduka carwash na zinginezo kama hizo mm ni mtaalamu naweza promote na biashara ikakuwa nauwezo wakusimamia bila tatizo na hesabu zote zikaeleweka na umri miaka 28
0782 27 90 85
Hello'habari naitwa Hamanda kutoka
Moshi mzoefu wakusafisha magari hasa ndani nakuja mpaka nyumbani namaliza shughuli yote nyumbani
Kwa mwenye kuhitaji 0782 27 90 85
Ndg:''Aslaam alaykum naitwa Abdul Hamanda kutoka Moshi elimu kidato cha nne kwa mwenye kibarua chochote cha halali msaada tafadhali mtaani bila kazi hapakaliki mwishowe ni kuingia magroup mabaya km wizi nk waungwana najua hamtakosa pakuniweka ss ni wasafiri tunapapita kwenye hii dunia''
Sharup...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.