Mtafutaji hachoki

Mtafutaji hachoki

Abdul Hamanda

Member
Joined
Nov 7, 2021
Posts
17
Reaction score
21
Ndg:''Aslaam alaykum naitwa Abdul Hamanda kutoka Moshi elimu kidato cha nne kwa mwenye kibarua chochote cha halali msaada tafadhali mtaani bila kazi hapakaliki mwishowe ni kuingia magroup mabaya km wizi nk waungwana najua hamtakosa pakuniweka ss ni wasafiri tunapapita kwenye hii dunia''
Sharup to all ready this title. A.Hamanda
Phone:0782 279 085
 
Kilimo ni ajira tosha kama upo Kilimanjaro komaa na zao la ndizi na chai
 
Ndg:''Aslaam alaykum naitwa Abdul Hamanda kutoka Moshi elimu kidato cha nne kwa mwenye kibarua chochote cha halali msaada tafadhali mtaani bila kazi hapakaliki mwishowe ni kuingia magroup mabaya km wizi nk waungwana najua hamtakosa pakuniweka ss ni wasafiri tunapapita kwenye hii dunia''
Sharup to all ready this title. A.Hamanda
Phone:0782 279 085
Mungu akuwezeshe
 
Msimu wa karoti huu nenda mtoni....kama unaelekea bonite ni juhudu zako unaondoka mpaka 12000 kwa siku
 
Back
Top Bottom