Suala lako linaonyesha wewe ni mtu wa aina gani kwanza naweza kusema kuwa huijui Historia ya Tanzania kabla haijaitwa jina hili la Tanzania.
Kwa ufupi sana kabisa nitajaribu kukusaidia kama utaweza kuelewa historia ya nchi yako ya Tanzania. Ni kuwa jina hili la Tanzania limeanzisha mara tu...
Wakati Mwalimu Nyerere alipokwenda kuonana na Mzee Abeid Amani Karume kuhusu kuziunganisha Nchi mbili huru Zanzibar na Tanganyika alikuwa na dhamira ya kuitawala Tanganyika Maisha. Ili afanikiwe na dhamira yake hio alilazimika kuiweka Zanzibar chini ya himaya yake kwa maslahi yake ili isiwe...
Sio kweli kuwa watanganyika wanataka muungano wao wanataka kuendelea kuitawala zanzibar kiujanja ujanja na hilo sasa basi. sisi tunajiweza kwa nini mutubebe huu sio wakati wakubebana kila mtu atajua vipi atafika anapokusudia kufika.
Tatizo sio zanzibar kudai mamlaka kamili tatizo ni Tanganyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.