Recent content by Abdi Qasim

  1. A

    FAIBA 4G Cheap bundles

    Mmejitahidi majirani lkn kambuni za bongo HASA Halotel bado wapi vizuri sana kuliko hapo mnapofurahia Sababu, Faiba network inatoa kwa ksh 50= 1 GB per day Halotel inatoa Tshs 1,000= 1.1 GB per week Kshs 50= equivalent to Tshs 1,100= Khy nikasema mmejitahidi majirani lkn bado sana.
  2. A

    Nimependa mfumo wa ufungaji ndoa wa Waislamu ulivyo simple

    Ukweli kuachana AMA kupendana ni kitu cha kimaumbile huwezi kukilazimisha Wengi nawaona wanateseka kwa kupata magonjwa ya moyo na vidonda vya tumbo kwa kuogopa kuachana na kulazimisha mapenzi wkt moyoni hayamo, matokeo yake matatizo mengi yanaongezeka na michepuko kibao Ndio maana hata rate ya...
  3. A

    Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

    Hii nimeipenda hizi ni fursa ambazo watanzania wengi hatukuwa tukizijua
  4. A

    Botswana is Africa’s top investment destination as Dar scoops 8th spot

    Duhh majanga Ukweli hawa jamaa wakikwambia mambo yao ni lzm uwachunguze sana , Kushirikiana nao ni lazima use mjanja Kumbe ndio maana magufuli anawakazia keshawajua.
  5. A

    Ubongo interchange to cost sh 9 b

    Nakumbuka ulipoanzishwa mradi wa mwendokasi waliponda hivi hivi lkn sasa hivi wanapanga foleni kuja kujifunza nchi kibao za Africa ikiwemo Kenya Khy wacha wapige kelele na kuponda lkn naamini siku wakija bongo wataishia kibaha kutafuta madereva wa kuwaingizia magari yao city center
  6. A

    Ubongo interchange to cost sh 9 b

    Wape baba Bongo tunajikubali hakuna kuingia kwenye nchi yetu kizembe zembe
  7. A

    Ubongo interchange to cost sh 9 b

    Hamna kitu hapo Hizo zenu ni barabara za kawaida tuu interchange ya ghorofa NNE ktk Africa IPO kwa nchi mbali au tatu tuu na itatoa lane nane ambazo zitakwenda 16km na kuebdelea mpk chalinze 200km super highway with flyover za kumwaga SI kama huo ushuzi wa Dr shika road
  8. A

    All East African Citizens to enjoy equal rights as Kenyans in kenya, only need national ID card.

    Yaahh baada ya kuona ile mission imefeli sasa wanataka kutudanganya kwa njia nyengine lkn kwa bahati mbaya Kenya hawana cha kutuvuta Kuanzia Ajira ARDHI Fursa mbali mbali Wanawake wazuri Mambo yote hapo huku bongo Kenya hawana jipya
  9. A

    All East African Citizens to enjoy equal rights as Kenyans in kenya, only need national ID card.

    You are right brother huo ni mtego wa panya Wanataka kutumia mlango wa nyuma kupata malisho ya ngombe Pia kutibu ugonjwa wa ukabila kwa inter marriage Lkn its too late.
  10. A

    Watanzania wako obsessed na Kenya kuliko kinyume chake!

    Its correct If you want to fight them know them,join them, Ni mbinu za zalibya juu ktk kumwin au kumuangusha mpinzani wako ninlzm umjue weakness zake na strength zake ss nashangaa ndugu yetu yule anawaona wa TZ ninwajinga Afuatilie historian ya China mpk kufika hapo ilipo ilifanya nini kwa...
  11. A

    Watanzania wako obsessed na Kenya kuliko kinyume chake!

    Khaaa rabish Yaani ni uchafu mtupu unaongea hembu ONA aibu Kupresent mawazo yako ndio yawe ya watanzania na wakenya mimi nimeowa na nafanya biashara Kenya huna LA kuwadanganya watu ndugu
  12. A

    Wema wa Kenya ni Hatari kwa Tanzania (nimeelewa kwanini Rais Magufuli hakwenda Nairobi)

    mng'oa kucha Nimekukubali Ni wale wenye upeo wa kuona mbali, Na wenye uwezo wa kusoma na kupambanua mambo ndio wanaweza kukuelewa, Tatizo wabongo wengi hawajielewi na hawakubali ukweli pale wanapohisi ukweli huo umeichoma ITIKADI yake au kiongozi wake wa kisiasa. Ulichokiongea ndio real mm...
  13. A

    Uhuru Kenyatta amemtoa Rais Magufuli knock out! Ushauri wa bure kwa Rais Magufuli

    Ndugu yangu umeongea mengi sana lkn kwa mtazamo inaonekana kwanza huijui Kenya Hujui shida wanazozikabili wananchi ya Kenya Pili hujui mbinu na mikakati wanayoitumia Kenya kuhakikisha wanaikamata Tanzania na wanaendelea kunufaika kupitia Tanzania, Kuwa na uono mfupi kuna kufanya yule...
  14. A

    Zitto: Makamu wa Rais kupokelewa na balozi ni dalili ya kutokuwepo uhusiano mzuri na Kenya

    Ni kweli kabisa jamii ambayo haijastaarabika hurekebishwa kwa vitendo SI maneno matupu Kuthibitisha hilo Tazama wameelezwa ilivyokuwa mpk ngombe zilipoamuliwa kuuzwa Pia wameelezwa jinsi ukiukwaji wa sharia za nchi na za kimataifa zilivyokiukwa Lkn mijitu bado haielewi povu linawatoka Huku ni...
Back
Top Bottom