Haja hapa ni Uzalendo wa kulitumikia Taifa kwa umahiri na si kulumbana hakutusaidii kitu huu ni muda wa sisi kulitumikia taifa na si kufanya siasa pendwa na nyepesi za kitoto na kinafiki
Hii ni nchi yetu wote hivyo yeyote yule anayeza kuongoza basi apewe nafasi Magufuli aliahidi ktk kampeni zake kuwa atateua yeyote yule katika nyadhifa anuai hivyo sioni cha ajabu hapo
Ccm inapotea taratibu Visasi, Chuki, Unafiki, Majungu, na Ubabe unakitafuna tusubiri ndani ya 2yrs.something which will be amazing for ccm members will happens
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.