Recent content by Abdalah Hussein

  1. A

    OMBI: Rais Samia naomba kazi ya kukusaidia kuisimamia EWURA/ au Kilimo

    Umeandika maneno yako kwa uchungu na inaonyesha una uzalendo na nchi yako. Shida inakuja pale ukiteuliwa na kuonja cake ya taifa nawe unakuwa walewale. By the way ikitokea umeula kawe makini wanaweza kukukolimba maana huko kote ulikotaja ni mirija ya ya watu kwa ajili ya upigaji.
  2. A

    Natafuta Mke / Mchumba ( MUISLAM TU)

    Asante sana👏👏🏼
  3. A

    Natafuta Mke / Mchumba ( MUISLAM TU)

    Mkuu nadhani hii sio lugha nzuri, mimi naamini binadamu wote ni sawa . Kuwa na dini tofauti haimanishi kuwa mmoja ni bora kuliko mwingine, Sisi sote binadamu Mungu wetu ni mmoja tu ijapokuwa tunatumia dini tofauti katika kumuomba Mungu / Allah. Kama nimekukwaza nakuomba unisamehe japo sio...
  4. A

    Natafuta Mke / Mchumba ( MUISLAM TU)

    Karibu tuyajenge uwe mama watoto wangu tuwe na familia bora na sio bora familia dada mzuri
  5. A

    Natafuta Mke / Mchumba ( MUISLAM TU)

    Asante sana mdugu yangu, endelea kuniombea nipate "MKE" bora wa maisha yangu ili tufurahie hii dunia
  6. A

    Natafuta Mke / Mchumba ( MUISLAM TU)

    Asante sana, uzidi kuniombea ndugu yangu ili nipate "MKE" sahihi wa kinifaa maishani maana lengo hasa ni kujenga familia iliyo bora na sio bora familia. Niombee tu nisije pigwa na kitu kizito hadi nikachanganyikiwa my dear; maana mimi kwa kweli nipo serious sana na hili jambo .
  7. A

    Natafuta Mke / Mchumba ( MUISLAM TU)

    Nitumie pm then tutawasiliana
  8. A

    Natafuta Mke / Mchumba ( MUISLAM TU)

    Habari zenu ndugu, Mimi mwanaume wa miaka 33 natafuta mwanamke wa kuoa . Sifa za mwanamke/ mchumba nimtakaye Awe muislam na mwenye hofu ya Mungu Awe na miaka kuanzia 20 na kuendelea hadi miaka 30 iwe mwisho Awe anajitambua Awe na elimu angalau Diploma na kuendelea Mwisho awe tayari kuolewa...
  9. A

    Geita: Mwanamke aiba mtoto wa miezi mitatu kunusuru ndoa yake

    Nadhani kuna hatua za dharura serikali inabidi ichukue ili kuhakikisha mauaji hayatokei kila siku hivi. Inauma sana kupoteza uhai wa mtu
  10. A

    Maajabu ya Wilaya Songwe ni balaa

    Mbona unamtukana mwenzio bila sababu ya msingi? Imagine yeye ndio angekuwa anakutukana hivyo ungejisikiaje ndugu yangu. Mjibu tu kistarabu kama wa kuelewa atakuelewa tu sio lazima kutumia matusi
  11. A

    Hivi kuna kabila lenye watu wenye roho mbaya kama Wasagara?

    Mimi nadhani kuna individual difference, sio wote mkuu. Utakuwa huwatendei haki maana hapo ume-generalise mkuu
Back
Top Bottom