Recent content by abcde

  1. A

    JamiiForums Tanzania shamba la kukodi ruvu au moro

    nahitaji shamba la kukodi eka 200 mpaka 500
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

    aisee kitu kilikubali speed 400kbps ila usiku kimegoma tena, naambiwa niingize sername na password
  3. A

    JamiiForums Tanzania Bei ya "Cat 424" Backhoe Loader na John Deere 5500 (55hp)

    Habari zenu!! Naomba kufahamishwa bei ya Cat 424 backhoe loader au similar to this na John deere 5500 (55hp) ikiwa used na pia mpya. Nazihitaji kwa ajili ya kilimo. Asante
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba kuanzia eka 150

    Unauza shilingi ngapi? kuna vyanzo vya maji? Nitumie na picha.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba kuanzia eka 150

    Nahitaji pia mikoa mingine eka kuanzia 200-500 kama nitapata kwa bei nafuu (Mashamba mawili ya eka 200-500)
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba kuanzia eka 150

    Nimeku pm
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba kuanzia eka 150

    Habari wadau! Nahitaji shamba kuanzia eka 150-500 Arusha, Manyara au Mbeya. Asante
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba kuanzia eka 150

    Habari wadau!! Nahitaji shamba kuanzia eka 150-500 mikoa ya Arusha, Karatu, au Mbeya. Asante.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mizeituni na soko lake

    Nimefuatilia kwa msaada wa rafiki yangu ambaye tunataka tufanye kilimo hiki in large scale, zao hili linalimwa sana India,nashukuru kwa taarifa, nitafuatilia SUA nijue location kwa Tanzania ya zao hili.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mizeituni na soko lake

    asante kaka!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mwenye registered company, location na wateja wa bidhaa hizi.

    nimekuelewa kaka, ni hivi kuna kampuni linataka mwakilishi Tanzania kwa vifaa hivyo, kwa sasa kuna shughuli nafanya naona zinaniweka busy, wanachotaka ni uwe na registered company, location, na contact za wateja, then unafanya orde depending on demand, kama uko interested ni pm nikupe email yao.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mizeituni na soko lake

    Habari wadau! Nimejaribu kufuatilia kuhusiana na kilimo cha mizeituni, naona ni kama hakifanyiki kwa Tanzania, kwa mwenye ufahamu kuhusiana na kilimo hiki na soko lake Tanzania na Afrika Mashariki naomba tusaidiane mawazo.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mercedes ML270 $ 4925

    No, its tax exclusive
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mercedes ML270 $ 4925

    The car is used oveseas, it is to be imported - air condition - diesel - manufactured 2000 - manual gear - electric windows and mirrors - tempomat - RHD - alloy wheels -engine 2700cc -mileage 127,000km - price $ 4925
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mercedes CLS500 for sale

    Iko Poland, but if uko interested iko ready for importation
Back
Top Bottom