Recent content by abby255

  1. abby255

    JamiiForums Tanzania Tunafunga GPS trackers kwa ulinzi wa gari yako

    Tujuze vizur mkuu kuhusu huduma ya victoria
  2. abby255

    JamiiForums Tanzania Simba mrejesheni dimbani Jonas Mkude

    Yeah tusisahau kilichotuvusha baada ya kuvuka namaanisha wakiwepo wote wawili lwanga na mkude mbna mambo yatazidi kuwa mazuri
  3. abby255

    JamiiForums Tanzania Ukipoteza kwa mama umepoteza kwa watoto

    No sio kweli nnavyo amini mimi kama mtto sura kachukua kwa baba ujue akili kachukua kwa mama ina maana kama sura ni ya mama bhas akili ni ya baba hvo huwez chukua mwanamke mwnye iq kubwa ukapta mtto mwnye akili na wakat baba ni kichwa kibovu
  4. abby255

    JamiiForums Tanzania Tukio gani ulifanya shuleni mpaka leo haujalisahau?

    Duuuh asee kuna tukio moja ilo nipo kidato nilikuwa na washkaji zangu wanne tulikuwa na ki gang chetu tulikiita haki elimu kama unavyojua tulikuwa haki elimu kweli, namaanisha tulikuwa darasani tunafaulu vzri,na tulikuwa bangi tunaivuta kweli ssa tukio nisilolisahau ni hili Siku hyo nyumban...
  5. abby255

    JamiiForums Tanzania Tukishinda tutamshukuru Mwenyezi Mungu, ila 98% ni Sare ya aina yoyote au tunafungwa Kuanzia Goli 2

    Mwenye uzi yupo wap kakimbia au
  6. abby255

    JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

    Daaah ukishangilia goli la nickson corona hupat 😄😄😄😄🤗🤗
Back
Top Bottom