Recent content by Abby Newton

  1. Abby Newton

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya IMF (2025): Tanzania Miongoni Mwa Nchi 10 za Afrika Zenye Deni Kubwa la IMF

    Kwa ninavyojua Watanzania hii kwao si habari wako bize kukata viuno kwenye mikutano ya CCM
  2. Abby Newton

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

    We umeleta nn,mbona hujachoka kufuatilia mapenzi ya zuchu na diamond
  3. Abby Newton

    JamiiForums Tanzania GE2025 7media ya Baba Levo wamepata ajari ya gari Morogoro wakitokea Kigoma

    Yaani roho yangu sijui ipoje imekuwa nzito kusema poleni.aaah!
  4. Abby Newton

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea wa CCM hajaongea jipya lolote, ameshindwa kujinadi vyema

    Stockholm syndrome inakusumbua
  5. Abby Newton

    JamiiForums Tanzania Vazi la mtumishi wa Tume ya Uchaguzi linaongea

    We huoni vzr hivo ni vidonda au macho
  6. Abby Newton

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Kuongea na wazee pamoja na wakuu wa Mikoa kesho 27 /08/ 2025

    Ass-kisser kazini. Halina muda na Tanzania ya kesho, lipolipo tu.
  7. Abby Newton

    JamiiForums Tanzania Arusha: Jeshi la Polisi lasema linafuatilia tukio la msanii Dogo Janja kumjeruhi Mtu kwa kumpiga risasi

    Kabisa, jamaa kashika vibaya nyeti zao,wakijitingisha tu anavuta.
  8. Abby Newton

    JamiiForums Tanzania CCM haijawahi kuwa njema tangu kuundwa kwake. Mwenyekiti Samia simama imara ulipo ulinzi upo

    Kuna watu dini zimewafanya wawe wajinga kabisa,yaani unaona haya kumkosoa mkosefu eti kwassbabu ni wa dini yako? You must be very stupid person.
  9. Abby Newton

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Wapinzani mnasikiliza uongo wa Polepole hadi usku wa manane? Basi tunahijaji reforms za ubongo wa wapinzani, hivi mnajielewa kweli?

    Umejua vp kaongea km huna muda mchafu! Ass- kisser hamjawahi kuwa na akili.
  10. Abby Newton

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Ikiwa unapingwa na wanaCCM, waakristo, familia za waliotekwa, waliokatwa, wafuasi wa Lissu, utashindaje uchaguzi?

    Siku ya kuchangia chama hamuonekani ila uchawa,aaaah! Kuku nyie.
  11. Abby Newton

    JamiiForums Tanzania Usajili mpya Yanga baada ya kuwaona wachezaji uwanjani

    Tunawadharau wachezaji wetu ila mchezaji km Chikola ni mtu na nusu haswaaa. Edmundi ukimuangalia kwa haraka unaona kabisa ana kitu cha maana. Hao wageni ni wa kawaida tu sio wakutisha saaaana. Pacome atabaki Pacome jamaa anajua sn boli.
Back
Top Bottom