Recent content by ABBY HAMZA

  1. ABBY HAMZA

    Naomba kuuliza tire pressure gauge inauzwa wapi na kiasi gani

    Habari, naomba kuuliza hiyo kitu hapo inapatikana wapi kwa bongo na inauzwa pesa ngapi pia brand ipi ni nzuri zaidi?
  2. ABBY HAMZA

    1SZ, 2SZ, 2NZ

    Nataka injini ya 1.3L kati ya hizo hapo sio nje ya hapo
  3. ABBY HAMZA

    1SZ, 2SZ, 2NZ

    Target yangu ni hp kubwa sasa kuna jamaa akanambia nisijaribu kununua gari yenye injin ya 2sz hakunambia kwa nini na mimi sikumuuliza sabb
  4. ABBY HAMZA

    1SZ, 2SZ, 2NZ

    Asante ngoja nifatilie zaidi
  5. ABBY HAMZA

    1SZ, 2SZ, 2NZ

    Ina maana hakuna wataalamu wa hizi kitu humu???
  6. ABBY HAMZA

    Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Toyota Vitz Clavia

    Hiyo injin haisumbui kuna jamaa kanitisha kuhusu izo injini?
  7. ABBY HAMZA

    Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Toyota Vitz Clavia

    Nakakubali sana huo muonekano wake vp kanapiga km ngapi per lt?
  8. ABBY HAMZA

    1SZ, 2SZ, 2NZ

    Ipi ni the best engine hapo?
  9. ABBY HAMZA

    Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Toyota Vitz Clavia

    Habarini wana jamvi, naomba anayejua kuhusu hili gani anieleze ubora na matatizo yake kama yapo Toyota Vitz Clavia
Back
Top Bottom