Naomba kuuliza tire pressure gauge inauzwa wapi na kiasi gani

ABBY HAMZA

Member
Aug 28, 2016
66
95
Habari, naomba kuuliza hiyo kitu hapo inapatikana wapi kwa bongo na inauzwa pesa ngapi pia brand ipi ni nzuri zaidi?
 

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,105
2,000
Kuna duka moja lipo maeneo ya kiwanda cha cocacola huku ni duka kubwa sana. Utapata na bei zao zipo vizuri sana.
 

+255

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
1,942
1,500
Habari, naomba kuuliza hiyo kitu hapo inapatikana wapi kwa bongo na inauzwa pesa ngapi pia brand ipi ni nzuri zaidi?

Kama unataka aina hii nilinunua ebay $3 Mwaka wa pili huu, ni ya Kichina haina brand name yeyote.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom