Recent content by abby abdy

  1. abby abdy

    Nahitaji mshirika kuanzisha Mgahawa

    hapana ....sehem zipo ila nataka mtubwa kushare nae pesa ...ili kuweza fungua huo mgahawa
  2. abby abdy

    Nahitaji mshirika kuanzisha Mgahawa

    duh ...kumbe uku nlipo ...wazo hli hawajaliona uzur wake bdo
  3. abby abdy

    Nahitaji mshirika kuanzisha Mgahawa

    sawa mkuuu ...binadam ndio walivo
  4. abby abdy

    Nahitaji mshirika kuanzisha Mgahawa

    Aaahhh wapi yaaan siuzi ...zaid ya kuzid kuongeza vingine
  5. abby abdy

    Nahitaji mshirika kuanzisha Mgahawa

    Nilinunua kwa 460,000
  6. abby abdy

    Nahitaji mshirika kuanzisha Mgahawa

    Natafta mtu ambae ataeweza endeleza pale nlipoishia ....nlikua natka kufungua mgahwa na nimenunua viti meza kabati na vyombo va kutumia na majiko ...ila nimekwama katika mtaji na el ya kulipia eneo la bishara .. Hivo kama kuna mtu naeza kuj na kueka ela yake katika kulipia eneo na mtaji mi...
  7. abby abdy

    Nahitaji mshirika kuanzisha Mgahawa

    Natafuta mtu ambaye ataweza endeleza pale nlipoishia, nilikua natka kufungua mgahwa na nimenunua viti meza kabati na vyombo va kutumia na majiko ila nimekwama katika mtaji na el ya kulipia eneo la bishara. Hivo kama kuna mtu naeza kuja na kueka ela yake katika kulipia eneo na mtaji mi mtatoa...
  8. abby abdy

    Nahitaji mshirika kuanzisha Mgahawa

    Natafuta mtu ambaye ataweza endeleza pale nilipoishia, nilikua nataka kufungua mgahwa na nimenunua viti meza kabati na vyombo va kutumia na majiko ila nimekwama katika mtaji na hela ya kulipia eneo la bishara hivyo kama kuna mtu naweza kuja na kuweka hela yake katika kulipia eneo na mtaji Mimi...
  9. abby abdy

    Kuagiza kitu kupitia Kikuu App

    Acha nijarbu kitu kidgo kama wakinilidhisha tutaenda sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. abby abdy

    Kuagiza kitu kupitia Kikuu App

    Mawakala wa dar.. Maana nlikua natumia jumia ...walikua wako vzur tu ...ila ndio vle asahvi hawako bongo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. abby abdy

    Kuagiza kitu kupitia Kikuu App

    Msaada kama kuna mtu ashawahi fanya biashara kupitia Kikuu. Je, shipping yao wanaleta kweli au ndio unasubiri mpaka unasahau kama ulinunua kitu Kikuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. abby abdy

    Nini humfanya mwanaume kuwa mwanaume?

    Mwanaume kumuomba hela akumfanyi awe mwanaume ..ila njia pekee ya wwe kumfanya awe mwanaume wa kweli ni wwe kua 7bu ya maendeleo kwake ...wewe ndio uwe mtu wa kumshawishi na kumpa nguvu katika mipango yake ...kiufupi wwe ndio uwe mtu wa kwanza kwake...akitaka ushauri na mawazo ...jiongeze...
  13. abby abdy

    Natafuta mfugaji wa kunisambazia Mayai ya kisasa

    Uyu namfaham anauza jumla na mi nlikua mteja wake ...na si trey 3000 ila 300 ...ni kawaida hyo bro watu wanachkua mpaka trey 1000 kwa siku Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom