Recent content by AbbeyJr

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wanaume ifikie hatua muwe na moyo wa kibinadamu jamani

    Hauwezi kusalitiwa ama kudharauliwa pasipo na sababu[emoji20] Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
  2. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Maturubai

    Wanajamvi poleni na majukumu ya kiTaifa, nataka kufanya ujasiriamali wa biashara ya maturubai kwa ajili ya matukio ya kijamii kama vile msiba, hitma, 40, bridal shower na harusi.. Naomba msaada wa gharama ya maturubai ya kuweza kuchukua watu 30-50 kwa hapa Dar na ikiwezekana sehemu ambapo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Maturubai

    Wakuu naomba muongozo :(
  4. A

  5. A

    JamiiForums Tanzania Mbona hii show ya Castle Lite unlock 'haijakiki'?

    Mkuu show ipo na itabamba, uwe na bundle la kutosha kuchungulia kitakachokua kinaendelea kupitia insta live[emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. A

    JamiiForums Tanzania Team August

    Tuliozaliwa mwezi Agosti Uzi wetu huu hapa. Njooni jamvini tuzungumze[emoji123] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A

    JamiiForums Tanzania Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

    Nani anamkumbuga mwl.Mwakafwaga alikua ticha wa mkonge 2007 Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  8. A

    JamiiForums Tanzania Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

    Fire extinguisher zilibebwa usiku baada ya Kumaliza mitihani ya Form6 mwaka 2011...nakumbuka nilikua zangu town na washkaji tunakata ulabu pale LA casa tukapigiwa Simu kuna wizi hakuna MTU kutoka wala kuingia dah walitujambisha lakini hatukurudi shule had kesho yake Sent from my TECNO-C8 using...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

    Msechu mtaalam alitufundisha wimbo wa graduation ya dini Ukwata Form6 huyu jamaa Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  10. A

    JamiiForums Tanzania Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

    Kisosora cube ya kina mustinho, jaguar, Gerard, zahoro miaka ya 2009-2011 dah kampani yangu hiyo asee Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  11. A

    JamiiForums Tanzania Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

    Wazee hivi ule msambwanda wa Amina muuza maandazi uliwaacha salama kweli?kuna wadau walikua wanaponea pale dah Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom