Tumefurahi sana Mwanza wote ukawa Jana mji umefunika EL rais tayari. Asanteni sana. Sasa hakiki jina lako tunza kadi na tujitokeze Oct 25 tumalize kazi
Rai yangu watanzania wapenda haki tusikate tamaa. Uchaguzi wa mwaka tufanye mabadiriko yatakayo munufaisha kila mwananchi. Tubakie na mshikamano wetu ili ukombozi upatikane.
Hello ndugu zangu. Hili suala la kufuga samaki ni wazo zuri na likifanyika kwa umakini litaweza kutukwamua. Mimi nafuga kuku wa kienyeji hapa kwangu Mapinga Bagamoyo nahitaji pia kufuga samani. Nahitaji partner tuanze mradi aliyetayari, sehemu ipo ya kutosha ninayo namiliki mwenyewe. Pia mtu awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.