Recent content by abayasaba

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mitaala yetu ya sekondari nchini Tanzania

    Hivi unadhani kuja haja ya kufanyia maboresho mitaala yetu Tanzania. Bonyeza link hii tupe maoni yako. https://forms.gle/p8WrEGDJRQNXof1X6
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ph.D ina umuhimu gani kwa mwalimu wa sekondari?

    Hili jukwaa ni jukwaa zuri sana. Ndugu nawaomba mjaze hilo dodoso hapo ili kuangalia uelewa wa walimu juu ya mtaala na uwezo wa kuandika maandalio. Dodoso unajaza online tuu, na ukipenda kushughulika katika miradi mingine kama hii zaidi ya umoja wa mataifa pia, utaeza nitumia email yao inbox ili...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa sekondari nini mtizamo wako juu ya hili?

    Ndugu mwalimu wa sekondari hata wa msingi pia, nini uelewa na mtizamo wako juu ya competence based curriculum? Tusaidie kujaza katika dodoso hili fupi ili tuboreshe elimu yetu zaidi. Competence Based Curriculum implementation in secondary schools.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Walimu: Tujuzane uandishi wa lesson plan, lesson development na scheme of work kwa wale wazoefu

    Hili jukwaa ni jukwaa zuri sana. Ndugu nawaomba mjaze hilo dodoso hapo ili kuangalia uelewa wa walimu juu ya mtaala na uwezo wa kuandika maandalio. Dodoso unajaza online tuu, na ukipenda kushughulika katika miradi mingine kama hii zaidi ya umoja wa mataifa pia, utaeza nitumia email yao inbox ili...
  5. A

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Secondary Education Curriculum

    ..
  6. A

    JamiiForums Tanzania nahitaji VEROSA

    nataka kuagiza toyota verosa, nahitaji kujua kuhusu hii gari sana, ina 4 na 6 au zote ni 6 cylinder. zina matatizo gani makubwa?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Sawa mkuu ngoja mabingwa wa vyuma akina mshana na wengine washushe elimu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asalam aleykum humu ndani. Jamani naomba kupata elimu kati ya toyota porte na toyota passo ni ipi ina body ngumu na nguvu.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Toyota cami nini mapungufu yake au ugonjwa wake hasa.au iko poa,mwenye nayo au uzoefu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nani mwimbaji bora wa Gospo wa mda wote Tanzania?

    JOHN LISSU ni mkali aisee
  11. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

    Kama mtu anataka incubator ani pm.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wadau habarini,jamani hizi ajali ajali unapokuwa na vigari vidogo hivi jamii ya passo na wenzake risk inakuwa kubwa zaidi,bora turudi kwenye malori yetu tuu ma vitara,. Naombeni mnijuze bei ya suzuki vitara au escudo model ya zamani jamani., yard na pia kama ukiagiza inakuwa milion ngapi maana...
Back
Top Bottom