Recent content by abashaija

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatuwezi kushiriki utapeli wa Chama cha Mapinduzi

    Si sahihi kabisa kaka, ni upungwani kutumia wingi wa wabunge wa ccm ili kupitisha uozo. wamesahau kwamba sio kila linalokubalika na wengi linafaa! lazma wafike sehemu waweke standards, sio kuamua kwa kupiga kura za ndio, upuuzi!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye Mwanya au kidoti/alama cheusi

    da! yani mi kwa wanawake wa aina hiyo, breki hazikabi, zaidi pale wanapokuwa na "migongo!"
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mke wangu halali na mimi chumbani, analala na Housegirl. Msaada

    kaka mzma? bado kagoma?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Jamaa linamlipisha nauli mkewe kila akipanda gari lake...

    Ule usemi usemao "ukistaajabu ya Musa...." umedhihirika pale ambapo jamaa moja linalojiita mume wa mtu, limekuwa likimlipisha mkewe nauli. Yani gari amenunua mwanaume, ila mke akitaka msaada kupelekwa mahala popote jamaa anadai nauli. Cha kustaajabisha sio kama jamaa halina uwezo wa kuaford...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mke wangu halali na mimi chumbani, analala na Housegirl. Msaada

    :sad: dah...pole sana kaka, japo hujaeleza hilo swala limeanza lini, ila kwanza jichunguze, huenda anaogopa kukupa unyumba kwa sabab flan flan, aidha umekuwa mchakachuaji nje ya ndoa, au vinginevyo. Kikubwa muite, uongee nae, huo ni mgomo baridi amefnya. ni jambo la kawaida kwenye ndoa ambayo...
Back
Top Bottom