Recent content by abarkassim mohammadan

  1. abarkassim mohammadan

    JamiiForums Tanzania Pluijm Rasmi Singida United!

    Nakuunga mkono kumuacha pluijm ni makosa makubwa sana kwani ndio kocha aliyetupa ujasili wanajangwani hatakama tukicheza na timu kubwa kias gani bado tunajipa moyo wa ushindi sio huyu wa sasa simuelewe hatakidogo anatoa beki anaingiza mshambulia tena acheze beki IPO siku atatoa kipa sijui...
  2. abarkassim mohammadan

    JamiiForums Tanzania Hivi Prof. Jay kwanini tu asiache muziki?

    Haimbi mziki kwa ushindani anaimba kwa kuwa mziki upo kwenye damu
  3. abarkassim mohammadan

    JamiiForums Tanzania Hans Poope amaliza uvumi wa Jonas mkude na Ajibu kuihama simba sport club

    Hizo ni janja janja tu ili kuzuia kuwapa moyo Masha bike
Back
Top Bottom