Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Ule uvumi wa mda mrefu kuwa Jonas mkude na Ajibu wanataka kuihama club ya simba imemalizwa na jemedari wa usajiri Tanzania ndugu Hans Poope baada ya wachezaji hao kila mmoja kusaini mkataba mpya wa miaka mitatu kila mmoja kwa mashart ya kuruhusiwa kuondoka pale watakapoata timu ya nje ya Tanzania. Hongera sana Hans Poppe vijana hao bado simba inawataka kwa gharama yeyote kuhakikisha ubingwa mwaka huu unatua nsimbazi