mkuu me nataka kuagiza mzingo kwel aliexpress kwa kutumia m pesa mastarcard ila inagoma unaweza kunixaidia jinjisi ya kujaza card number holdername expr date na cvv number make apo kwenye holdername xijui nijaze nn nimeweka majina yangu nilio xajilia line lakin inagoma nielekeze mkuu
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kulipia badhaa aliexpress natumia m pesa mastarcard lakin inagoma kukamilisha malipo holdername nijaze majina yangu ya m pesa au. Nalejexha kwenu wana JF
Wana JF naomben maelekezo jinsi ya kufanya manunuzi kwa Alibaba Eliexpress nafata taratibu zote kikifika hapo km inavyo onekana kwenye picha inanigomea.nawasisha kwenu wakuu
Wakuu hawa Alibaba zao kwa mizigo midogo kama watakua wame kupiga xana inaweza kua shingapi yan garama ya juu inaweza kufika hadi dola ngapi kwa mizigo midogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.