Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Mara nyingi kwa items ndogo ndogo wauzaji wengi wa Alibaba wanasafirisha kwa njia za haraka kama DHL, UPS, EMS etc. Mara nyingi gharama za usafirishaji ni makubaliano yako ww na muuzaji. Kwa njia za haraka mara nyingi mzigo uwasili nchini ndani ya siku 14.
"Mr.mobile,Asante sana kwa ufafanuzi mzuli. Lakin nawezaje kuwasiliana na muuzaji maake nime jalibu kuwatumia message lakin sijibiwi ntaweza kuwasiliana nao?
 
Huwa wanajibu, ila kuchelewa kujibiwa inatokana na tofauti ya masaa, maana wao wapo masaa matano mbele, hivyo muda mwingine kwao inaweza ikawa umetuma ujumbe muda ambao sio wa kazi . Pia ukitaka kujibiwa kwa haraka zaidi unaweza ukawasailiana nao kupitia WeChat au WhatsApp ila mara nyingi tumia WeChat sababu sababu WA ipo banned nchini China hadi watumie VPN ndio wanakuwa online. Kama unatumia App ya Alibaba Kwenye store home page ya chini kabisa kuna contacts za sales manager.
"Mr.mobile,Asante sana kwa ufafanuzi mzuli. Lakin nawezaje kuwasiliana na muuzaji maake nime jalibu kuwatumia message lakin sijibiwi ntaweza kuwasiliana nao?
20191023_194807.jpeg
 
"Mr.mobile,Asante sana kwa ufafanuzi mzuli. Lakin nawezaje kuwasiliana na muuzaji maake nime jalibu kuwatumia message lakin sijibiwi ntaweza kuwasiliana nao?
Wauzaji wa AliExpres mara nyingi hawajibu kwa wakati sijui shida ni nini. Kwa Alibaba wanajibu on time.
 
Wakuu hawa Alibaba zao kwa mizigo midogo kama watakua wame kupiga xana inaweza kua shingapi yan garama ya juu inaweza kufika hadi dola ngapi kwa mizigo midogo
 
Mzigo huo upo kwenye mchakato wa kuja
 
Attachments

  • IMG-20191024-WA0014.jpg
    IMG-20191024-WA0014.jpg
    33.1 KB · Views: 9
  • Screenshot_20191025-212938.jpg
    Screenshot_20191025-212938.jpg
    26.5 KB · Views: 9
  • IMG_20191025_215013_989.jpg
    IMG_20191025_215013_989.jpg
    25.8 KB · Views: 9
Nmeagiza simu kwa mara ya Kwanza kupitia alliexpress, status wameniwekea, Despatched to overseas (Country code: TZ), mana yake nn
 
Nmeagiza simu kwa mara ya Kwanza kupitia alliexpress, status wameniwekea, Despatched to overseas (Country code: TZ), mana yake nn
Hio ni hatua ya awali ya mzigo kutumwa kuja Destination country Tanzania. Mzigo umekua dispatched (kiswahili kigumu),.
 
Hio ni hatua ya awali ya mzigo kutumwa kuja Destination country Tanzania. Mzigo umekua dispatched (kiswahili kigumu),.
Kwa kuongezea ni kwamba kwa hatua hii mzigo upo njiani kutoka kituo chao cha kusambazia mizigo kuja TZ.
Baada ya mda kidogo utaambiwa mzigo umeshafika nchini na hiyo ndio itakuwa update ya mwisho.
 
Kwa kuongezea ni kwamba kwa hatua hii mzigo upo njiani kutoka kituo chao cha kusambazia mizigo kuja TZ.
Baada ya mda kidogo utaambiwa mzigo umeshafika nchini na hiyo ndio itakuwa update ya mwisho.
Sasa hv wameandika arrived in destination country, awaiting custom s clearance. Naomba kujua inaweza kufika mwanza baada ya muda gan
 
Wakuu nime agiza mzigo kupitia eBay sasa nilikua baomba kuuliza mzigo unachukia siku ngapi hadi unifikie napia kwa mwanza ofisi zao zipo maeneo gan
 
mkuu umekipokelea wapi? yani hamu yangu kubwa ni kujua process ya shiping ipoje
Mkuu samahani.
Nimejaribu kutizama bei ya baadhi ya bidhaa kwenye ebay naona bei yake ni kali kama hapa tu.

Mfano samsung A40 wanataka $250 na zngine zaidi ya hapo wakati juo kibongo bongo 450k unapata.

Au kun kitu sijaelewa mkuu?
 
Samsung Official wapo Tanzania ni vyema kununulia hapa hapa tu. Hio hata warrantt itakuwa haina.
 
Back
Top Bottom