Afrika inawataka watawala wake kuangalia interest za Africa katika jambo lolote lile, ila ni Nongwa Rais wa Marekani kuangalia interest ya Marekani kwanza.
People do things for self interest not altruism.
Ulaya imejengwa na ukabila.
watu wa kabila moja waliamua kutengeneza Nchi yao. kwakua wanasikilizana, wana Miiko sawa ndiyo maana Nchi zao zilikuwa kwa haraka Kiuchuni. Unlike Africa, Makabila zaidi ya Mia Moja yamefungwa Nira Moja. Hii inafanya watu wasiwe na Uchungu na Rasimali za Nchi.
kwa...
Ili sakata la uhamiaji linaimpact kubwa sana especially kwa Africa. Uko nyuma waafrika wenye ufahamu wa mambo walikuwa wakikimbilia ulaya na marekani kutafuta unafuu wa maisha. Sasa hiyo milango inafungwa, hali inayofanya kundi ilo libaki afrika kwa kwa shurti.
Sasa, tawala za Africa ni either...
Wasabato wakiwakosoeni, mnasema wanawatukaneni.
Mungu hana nafsi mbili, Mungu Ana nafsi moja.
Anasema katika biblia:, KWA NAFSI YANGU(SIO NAFSI ZANGU) NINA APA.
UKIWA NA UWEZO(AKILI) WA KUUMBA MTU, UNA UWEZO KUAMRU DHAHABU AMA MADINI YOYOTE YATOKE ARDHINI NA KUJA JUU. MAANA KUAMRU MADINI YATOKE ARDHINI NA KUJA JUU SIO JAMBO COMPLEX KIVILE KAMA KUUMBA MTU.
MWENYE HUO UWEZO, ASINGELIHITAJI KUUMBA MTU ILI KUPATA MADINI.
2 Pet 1:16 SUV
Maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.