Hivi kuna umuhimu gani kwa serikali kila baada ya miaka mitano kutoa fedha za kununulia magari ya wabunge? Haya si magari ya majimbo husika na kama ndiyo kwa nini wabunge wanapimaliza muda wao magari hayo hayarudishwi katika majimbo husika? Hapa kuna mchezo mchafu wa matumizi ya rasilimali
Kama nilivyoandika jioni ya leo. Huyu kijana haitakii nchi hii afya ya kisiasa. Binafsi ni mwanachama wa ccm lakini uwepo wa ukawa na wafuasi toka ccm kuingia ukawa hii ni afya njema kwa mustakabali wa taifa letu. Kijana amechuja
Nategemea leo Humphrey atakuwa yule kijana niliyemjua mwaka 2002. Ni moja ya vijana wachache waliopewa upeo wa mbali lakini anatetereka katika uchambuzi usio na utafiti yakinifu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.