Recent content by A4.

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Evelyn salt Vs Heaven on Earth, miss chagga Vs miss neddy

    mbona mtoto anaelemewa na matiti? Hiyo papuu itakuwaje?
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anikimbia kitandani usiku wa manane baada ya kumjibu swali lake....

    hahaha...watu wengine hatari sana! Mtu anaweza akachati na kimchepuko chake kwenye thread ya m2 mwingine! Kweli "Bwana asipolinda mji, alindae akesha bure"
  3. A

    JamiiForums Tanzania Vurugu mitaani Mwanza kati ya wamachinga na polisi

    Wapigwe tu, hao ni wakwepa kodi. Kwanini mimi nilipe kodi wengine wasilipe kupitia umachinga? Hao ni wahujumu uchumi. Mnataka uchumi wa nchi uteketezwe na machinga badala ya kuwa na investments kubwa mijini? Hivi kila kijana akiwaza umachinga, tutakuwa na taifa la aina gani?
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anikimbia kitandani usiku wa manane baada ya kumjibu swali lake....

    hamna kitu
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda kutambua uwepo wa: Wachungaji, mapadre, makatekista, watawa, mashehe,....

    nenda moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda.
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda kutambua uwepo wa: Wachungaji, mapadre, makatekista, watawa, mashehe,....

    kumbe! Wanaitumia jf kwenye mahubiri ee?
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda kutambua uwepo wa: Wachungaji, mapadre, makatekista, watawa, mashehe,....

    hebu tuone kama watathubutu kuweka sadaka rehani
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anikimbia kitandani usiku wa manane baada ya kumjibu swali lake....

    hapana mkuu, sikufika huko.
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anikimbia kitandani usiku wa manane baada ya kumjibu swali lake....

    hahahaha.....alikolea mno! Akataka kunijua zaidi, hata hivo nilikuwa nshachoka, so alinipunguzia shughuli. Cha ajabu kanipigia tena kuniomba msamaha mchana, simwelewi?
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda kutambua uwepo wa: Wachungaji, mapadre, makatekista, watawa, mashehe,....

    Hili jukwaa navyolichukulia sina uhakika kama kuna Viongozi wa dini katika hili jukwaa la MMU. Kama wapo, basi tupeane mawazo/elimu umuhimu wa uwepo wao huku hasa wanapoona mambo mbalimbali yakitajwa huku kama vile papuchi, n.k. Maana huku ukifuatilia sana hutakuwa na tofauti na mtu anaependa...
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anikimbia kitandani usiku wa manane baada ya kumjibu swali lake....

    unatisha mkuu, kumbe na huku mpo? Ama jina la utani?
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anikimbia kitandani usiku wa manane baada ya kumjibu swali lake....

    mkuu crudii tena, nilishamshughulikia mmoja hadi akatokwa na jasho kama amenyeshewa niliogopa!
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anikimbia kitandani usiku wa manane baada ya kumjibu swali lake....

    hahahaha...baba paroko...
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Eti nilipe mahari milioni nne (4,000,000)?!

    Oa mmang'ati mwenzio!
  15. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anikimbia kitandani usiku wa manane baada ya kumjibu swali lake....

    hahaha afadhali sikwenda zaidi labda angezimia.
Back
Top Bottom