Kama unapinga sawa pinga lakini haikufanyi uwe sahihi.. kwa nini watu wanaumwa? Haya sio mambo ambayo Mungu alimuumbia binadamu.. Mungu alimuumba binadamu akamuweka dunia ampe utukufu sio haya yanatokea. Haya yanayotokea ni matokeo ya dhambi ni matokeo ya kutukumtii Mungu na badala yake hatui...
Haha usichokijua
Kipimo cha haki ni kumuamini Yesu.. Yesu alikufa tupate haki ya kusimama mbele za Mungu pasipo kuhesabiwa hatia..
Yesu hakufa bure maana wapo watu waliomkubali na kumuamini.
Yesu alikufa mara moja tu kwaajili ya dhambi..
Badala ya kuwashauri watu kutenda dhambi nawashauri...
Imani logic yake ni imani.
Yesu kristo ni neno la Mungu liliofanyika kuwa mwili. Binadamu alipofanya uasi alipokea adhabu na matokeo yake ilikuwa ni mauti na sio hilo tu hiyo dhambi ilisababisha uadui katika ya binadamu na Mungu.
Hivyo Yesu alikuja kutatua tatizo la dhambi kwa kufa badala ya...
Sijui kama unaona unachokitype..
Huwezi kumuamini Yesu alafu ukaendelea kutenda dhambi..
Kumuamini Yesu inamaana unaamini alikufa kwaajili ya dhambi zako sio zake..
Na yoyote anaelewa hili hawezi kutaka kutenda dhambi na hata hiyo asili ya kutenda dhambi haimo ndani yake
Unachagua unachotaka kuamini, na unachoamini kinabeba uzito gani.. Lakini katika maisha ya ukristo tunafata muongozo wa biblia kujua ni ni ni kweli nini si kweli.. Kwenye biblia hakuna mahali inaonyesha Yesu alioa labda ipo ila mimi sijaisoma.. Sasa kwa ni ni nikubali kitu ambacho hakipo kwenye...
Kwa kujua na kwa kutokujua.. Yesu alikuja ulimwenguni kulikuwa ni kwasababu ya kumsaidia mwanadamu na dhambi..
Hapo mwanzo shida kubwa ya mwanadamu ilikuwa ni dhambi na dhambi ikasababisha uadui wa mtu na Mungu wake..
Kwahiyo Bwana Yesu alikuja kuabolish dhambi kwa kuna kaka na kufufuka...
Yesu likuja duniani kwa kama moja. Kumuokoa mwanadamu na dhambi alivyomaliza ndio maana akaondoka zake..
We all hata our mission here on earth tatizo ni kuijua, na kuna epusha na tatizo yasio ya lazima
Kikubwa confidence, kama hauna passport fanya mchakato upate.. Fanya fanya research ya bei za ndege, mahali utakapofikia mahali unapoenda(location yake).. Zingatia muda..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.