Recent content by A man himself

  1. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

    Uzuri wa uchaguzi hauangalii wewe ni nani au umewahi kuwa nani... ukiamua kukutupa mkono unakutupa tu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tuseme tu Ukweli. CCM ya sasa Tunafanya mambo ya kitoto hadi yanatia kichefuchefu

    Chaka la wavizia fursa (walamba viatu) hawawezi yaona haya
  3. A

    JamiiForums Tanzania Clouds 360 waishambulia CHADEMA kutopenda kukosolewa

    Wanafiki wakubwa hao acha wayaogelee matusi
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kumrithi Dr. Slaa

    Ulivyo malizia ujumbe wako inanitia shaka hata kuamini hizi propaganda. Unaonekana wazi kutojiamini ndo maana unamalizia mjumbe hauawi
  5. A

    JamiiForums Tanzania Prof. Jay amnyima usingizi Abdusalama Amer jimbo la Mikumi

    Watu wa mikumi wanabahati sana at least nao wanaenda kutambulika bungeni....maana hilo gamba lililopo sa hv majanga tupu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hebu tujadili: Hivi ikitokea leo unaaambiwa wewe ni rais wa Tanzania walau kwa wiki moja utafanyaje?

    Kwanza ningetengeneza decree kama za mwalimu Nyerere kuzuia V8 kutembea wiki nzima. mikataba yote ya madini ningeipitia upya yote. Pia ningepitisha bajeti ya ufufuaji wa viwanda mikoa yote Tanzania kwa ile pesa ya kuendeshea V8
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete ya Mwisho wa mwezi Julai, 2014

    daaah nasikitika kwa hii hotuba ya rais wa jamhuri kubwa kama hii kuyakana maneno yake....anasema kuwa yy alitoa ushauri tu...embu tujiulize watanzania wenzangu ulikua ni muda muafaka ule kwa rais kutoa maoni yake pale au alipewa fursa ya kufungua Bunge. Nashukuru kujitambua kwamba yeye kama...
Back
Top Bottom