Prof. Jay amnyima usingizi Abdusalama Amer jimbo la Mikumi

Prof. Jay amnyima usingizi Abdusalama Amer jimbo la Mikumi

Prof J Jembe.

JEMBE3.jpg
 
Hivi J ameoa? Kwnn 'WAHUNI' wanakipenda hiki chama! au kwakuwa KATIBU muhuni? Ndio chanzo cha maamuzi yakihuni mjengoni
 
Hivi J ameoa? Kwnn 'WAHUNI' wanakipenda hiki chama! au kwakuwa KATIBU muhuni? Ndio chanzo cha maamuzi yakihuni mjengoni

Hivi Makinda pamoja na uzee wake kaolewa? Au nimchumbie tu nimuwowe?
 
Hivi J ameoa? Kwnn 'WAHUNI' wanakipenda hiki chama! au kwakuwa KATIBU muhuni? Ndio chanzo cha maamuzi yakihuni mjengoni

Kwani Prof. wa kichina anao wangapi kweli... Mbona mambo yanayofanyika ni zaidi ya uhuni? Let facts drive you n not emotions... Prof J is more than CCMagambas Profs
 
muziki wa hip up wapi na wapi na ccm sioni ajabu wana hip up wanaoimba muziki wa kianaharakati kuipenda chadema na sishangai waimba taarabu, wabanapua kama diamond na waigizaji wenzake wauza unga kushabikia ccm
 
Kutokana hali isio ya kawaida wananchi wa jimbo la Mikumi wamemupokea shangwe msanii wa Bongo flavour na mmoja wapo wa wanaharakati wa mwanzo alifanya mziki huo kuonekana kwa wanajamii kuwa sio mziki wa kihuni Joseph Haule (Prof Jay) maamuzi yake ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (chadema)

Wananchi hao wakizungumuza katika moja ya mkutano wake wanasema hawapo tayari tena kuichagua ccm na mbunge wake Abdusalama Amer wamesema ni heshima kubwa kwa msanii huyo kugombea jimbo kwani angeweza kugombea jimbo lolote nchini na angeweza kupata lakini kwa kutambua umhimu wa kuwatumikia watu wa Mikumi na kuambua kuwatumikia wamesema watamuunga mkono msanii huyo mwenye heshima kubwa inchini

Amekosa cha kufanya....asuburi aibu ya mwaka
 
Mbunge wenu angekuwa makini leo usingesema "shida zetu" yaani msingekuwa na shida tena.
tunajua tulikosea wapi lakini huyo profesa j hatufai.akatafute jimbo lingine.nadhani hajui kwamba toka mwaka 2000 jimbo la mikumi huwa linakwenda kwa wapinzani lakini ikulu inabadilisha matokeo. Hapo ni pagumu yeye akaendelee tu na muziki
 
muziki wa hip up wapi na wapi na ccm sioni ajabu wana hip up wanaoimba muziki wa kianaharakati kuipenda chadema na sishangai waimba taarabu, wabanapua kama diamond na waigizaji wenzake wauza unga kushabikia ccm

Comment yako imenifanya nimfikirie Fareed Kubanda na Mwanza yake hebu wafanye wampe magwanda asee wamsimamishe pale juu,hebu fikisha hii hoja mezani kama kuna muhusika yoyote humu ndani.

Ama kweli kwa hili la Joseph ni bora mkawa wapole tu na wasitegemee kuwa eti watamfanya kama Nakaya wasfikirie kabisa kuhusu hilo asee.

Viva Professor.Viva Forever Mkuu.
 
Wee nenda zako huko udzungwa, kapambane na majembe ya kilombero. Mikumi tuache wenyewe usijipendekeze pendekeze huku tutakupiga kitu bureee!
kijana acha uhuni kama wewe ni mvuta bangi kazi kwako.jimbo la mikumi linaishia kilombero kama ulikua haujui ,mwambie huyo profesa j akatafute jimbo lingine asipoteze muda kilombero hatutaki vilaza
 
tunajua tulikosea wapi lakini huyo profesa j hatufai.akatafute jimbo lingine.nadhani hajui kwamba toka mwaka 2000 jimbo la mikumi huwa linakwenda kwa wapinzani lakini ikulu inabadilisha matokeo. Hapo ni pagumu yeye akaendelee tu na muziki

Na hata magwanda wanajua walikosea wapi lakini kwa 2015 ujinga wakati wa kwenda tu ndugu kwani hayo majimbo mengine yaliyochukuliwa na magwanda kabla ya hapo yalikuwa yanaongozwa na chama gani mkuu ?.
 
Watu wa mikumi wanabahati sana at least nao wanaenda kutambulika bungeni....maana hilo gamba lililopo sa hv majanga tupu
 
Back
Top Bottom