Recent content by A. Magnificent

  1. A

    Regina Mwalekwa hopeless kabisa

    Kama unalengo la kumsaidia,tafuta no yake mpigie umshauri,kuliko kumchana hapa hadharani...na wewe umekua wa mipasho au?by the way kama unamfuatilia vzuri mwanzoni hakua na kipindi maalum lakini sasa wamempa kile cha jicho la tatu ambacho mi naona kinaendana nae sana tu.
  2. A

    Lawrence Mafuru, NBC's MD cleared of charges, recalled

    Naamini waliochunguza wamefanya kazi yao kwa umakini,na jamaa hajakutwa na kosa,sasa ni wakati wa kuchapa kazi tu..hongera zake mafuru
Back
Top Bottom