Recent content by a hope

  1. a hope

    JamiiForums Tanzania Aljazeera

    Personally,aljazeera ni channel bora kabisa duniani. Hii coverage wanayoionesha huko Gaza ni exstra-ordinally Kongole kwao
  2. a hope

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya uislamu na usafi hasa kwa wanawake waislam

    Niliongea kitu kama hiki wiki iliyopita..baadhi ya wakuu wakajaa juu wakihisi nazungumzia mambo ya udini sijui... Nafikiri hii issue ya usafi ni utamaduni wao..hata watoto wao wako ivo
  3. a hope

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo kuzimu muda huu,nawaona viongozi wa afrika na america

    daah kazi kweli kweli..
  4. a hope

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe

    [emoji817]
  5. a hope

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe

    your name suggests..big head full of bones
  6. a hope

    JamiiForums Tanzania Hongereni akina Mama na Mabinti wa Kiislam

    Mimi nimesema kitu ninachokiona na kukijua..suala la kuniunga mkono au kutokuniunga nafikiri sio biashara yangu
  7. a hope

    JamiiForums Tanzania Hongereni akina Mama na Mabinti wa Kiislam

    mimi huwa nauliza dini kwa lengo kujua ni watoto wapi nitawapa ruhusa siku ya ijuma kuhudhuria masjid..so ni kwa nia njema kabisa mkuu
  8. a hope

    JamiiForums Tanzania Hongereni akina Mama na Mabinti wa Kiislam

    Mkuu mimi sifundishi madrasa.. Nimejiari katika masuala ya childhood & early education..nina vituo vya kulelea watoto wadogo-day care
  9. a hope

    JamiiForums Tanzania Hongereni akina Mama na Mabinti wa Kiislam

    Wako smart-kimavazi muda wote wako safi kabisa Wako smart kichwani.. hawatumii kabisa abusive language kwa watoto wenzao..wana sifa nyingi nzuri ambazo kwa umri wao unaona kabisa mama zao wako vizuri
  10. a hope

    JamiiForums Tanzania Hongereni akina Mama na Mabinti wa Kiislam

    Yaah nadili na walio chini ya 5 years
  11. a hope

    JamiiForums Tanzania Hongereni akina Mama na Mabinti wa Kiislam

    [emoji3059] saana wako vizuri mkuu
  12. a hope

    JamiiForums Tanzania Hongereni akina Mama na Mabinti wa Kiislam

    Ninapowafanyia usajili na dini zao tunauliza
  13. a hope

    JamiiForums Tanzania Hongereni akina Mama na Mabinti wa Kiislam

    Ni kweli kabisa mkuu
  14. a hope

    JamiiForums Tanzania Hongereni akina Mama na Mabinti wa Kiislam

    Wakuu kwema, Naomba nichukue nafasi hii kuwapongeza wakina mama na wanawake wote wa kiislam kwa malezi Bora kabisa ya watoto wenu. Kwanza kabisa mimi si wa dini hiyo, ila naomba tu niwe mkweli. Wahenga walisema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Katika suala zima la malezi ya watoto...
  15. a hope

    JamiiForums Tanzania Dunia ina mambo ya ajabu hii, nikisikia mtu kajiua sishangai kabisa

    hili uliloongea hapa ni jambo la kawaida..pambana..tukikueleza side zetu huu uzi utafuta
Back
Top Bottom