habari wadau, namtafuta mtu aliyejulikana kwa jina BEST, alikuwa anapakia mchele miaka ya 1992 TANDALE SOKONI, hatujui jina kamili ila alikuwa anatumia jina na a.k.a BEST. Mwenye mahusiano naye, anayemjua, au mwenye contacts zake naomba awasiliane na mimi au anipe contact zake kwa kucoment...