Waziri hawezi kumwondoa sasa hivi na yeye mwenyewe Kumburu hawezi kuondoka sasa hivi maana wana dili la kununua mashine mpya ya kuuza kahawa hehehehehehe
Mh. WAZIRI WA KILIMO CHRISTOPHER CHIZA NUSURU SEKTA YA KAHAWA KWA KUTOMWONGEZA MKATABA MKURUGENZI MKUU WA BODI YA KAHAWA A. KUMBURU
Mkurugenzi mkuu wa Bodi ya Kahawa alipewa mkataba wa miaka mitano na ambao tayari uliishia mnamo tarehe 30 September 2013 na kisha kuongezewa na bodi ya...
Huku soko la kahawa likizidi kuporomoka na kuonyesha dalili zote za mkulima kuumia siku za usoni kutokana na minada 2 iliyofanyika.Hiki kijamaa kiitwacho Kumburu ambae ni Mbunge mtarajiwa wa huko Mbinga 2015 (sijui akipata atawafukuza watu wa Mbinga wote ambao hawatampa shikamoo wana Mbinga...
Oh sasa kumekucha ndani ya bodi hii,sina zaidi la kuwaambia wenzagu hapa jamvini ila la kusema ni POLENI SANA
Kwa kuanzia tu msifikiri mna Mwenyekiti la hasha mwenyekiti ni Kumburu mwenyewe.Mwenyekiti Mr Juma Ngasongwa ni Ngeze mwingine du poleni sana kazi yake hapo ni kusaini kile Ibilisi...
Habari zilizotolewa hapa sio za uongo ni za kweli kwani ni kipi ambacho kimeandikwa hapa ambacho ni cha uzushi ?
Kwani uongo kuwa hawajagushi Scheme of service ? na kama ni uongo kwanini wizara imemwadikia Kumburu barua ya kujieleza na kwanini Scheme hiyo imepigwa mhuri wa wizara uliondikwa...
Mwenyekiti Juma Ngasongwa kuwa makini na watu hao ni hatari kubwa.Ogopa sana mtu ambae haoni haya kukuharibia jina lako kwa kukudanganya ili mambo yake ya ulaji yaendelee na kuwatesa wafanyakazi wa bodi hiyo usisahau ni mkabila sana. Simamia sheria na haki na pia ujue umezaa visasi visiende kwa...
Haya yule Mkurugenzi wa utawala wa Wizara ya Kilimo,Chakula na Ushirika kaingia kwenye bodi hii na anaonekana kama vile katumwa na waziri kuja kuangalia yanayojiri kwenye bodi hiyo hasa swala la mishahara ya wafanyakazi lakini cha kujiuliza ni je atafanya kazi ya kweli au atamwagiwa hela na...
Mkurugenzi wa Bodi ya Kahawa Adolph Kumburu azidi kuonyesha vituko
Hali si swari ndani ya Bodi ya kahawa nchini (TCB) ambako mambo ya kushangaza na kusikitisha,yanazidi kuibuka kila uchao yanayoambatana na matumizi mabaya ya mali za bodi huku Waziri mwenye dhamana akiendelea kufumbia macho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.