Recent content by A BIG BOX OF NOTHING

  1. A

    JamiiForums Tanzania Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

    Jamani eh, naona watu wanaanza kunishambulia kana kwamba mimi ndio muhusika mwenyewe...mimi ni mjumbe tu na siku zote mjumbe hauwawi jamaniiii
  2. A

    JamiiForums Tanzania Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

    Pouwaa nitamshauri mkuu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

    Mtu kuomba ushauri ni kwamba unahitaji mawazo na idea za ziada mkuu...wewe mgogo nini mbona una upeo finyu hivyo???
  4. A

    JamiiForums Tanzania Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

    Mkuu anayepanua domo na kulishwa sio mimi bali na jamaa yangu...so usinihukumu aisee
  5. A

    JamiiForums Tanzania Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

    Hivi umesoma vizuri hiyo thread??? Sio mtoto wake bali ni mtoto wa mwanaume mwingine...sawa mkuu???
  6. A

    JamiiForums Tanzania Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

    really..sumu kivipi sasa??!!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

    Kumbuka sio mimi lakini bali ni rafiki yangu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

    DEMBA, acha kupekua yasiyokuhusu!!!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Binti wa kambo anajilengesha kwa baba wa kufikia

    Ndio maana yake sasa kama wewe ungefanyaje hapo unadhani?!!!
  10. A

  11. A

    Mambo vipi jamiiforum members. Bila shaka nyote mpo pouwaa na wazima sanaa! Nina rafiki yangu ana umri kama miaka 47 hivi tupo naye ofisi moja ijumaa aliyopita alikuwa na kihoja cha mwaka. Ni kwamba, yeye alifiwa na mkewe kama miaka mitatu iliyopita alikuwa mwanamke wa kihehe kutoka Iringa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wadada kuweni na huruma: Mchepuko atafuna kiinua mgongo chote cha NSSF

    Ulitaka na mimi nijiite somebody cute although i look scary and raggedy???!!!
  13. A

    JamiiForums Tanzania Wadada kuweni na huruma: Mchepuko atafuna kiinua mgongo chote cha NSSF

    mafao hutegemea na contributions zako mkuu na miaka uliyofanya kazi pamoja na kiwango cha mshahara
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wadada kuweni na huruma: Mchepuko atafuna kiinua mgongo chote cha NSSF

    Jaribu na wewe utoke na ngoma
  15. A

    JamiiForums Tanzania Hodi humu ndani wenyewe mpoo???!!!

    Asante sana mkubwa!!!
Back
Top Bottom