U
Usilinganishe but nadamu na majini,majini ni malaika wa shetani waliolahaniwa na Mungu.sisi binadamu ni wenye thamani hivyo tunapaswa kumwabudu Mungu aliye mbinguni.
Upo
Kwel kbs,mwaka 2007 nilikuwa Rwanda nilinunua gazeti la newtimes.muhariri aliweka kichwa Cha Habari kuwa kujiunga kweku EA Wacha waturudishie ardhi yao.sasa Habari yenyewe walizungumzia wilaya ya karagwe na ngara jinsi ilivyo na ukaribu na kifanana mazingira mpk majina na vitu vingi tu pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.