Kuna wakati niliishi kwenye nyumba kubwa eneo fulani la kishua. Kulikuwa na nyumba kubwa yenye vyumba 3 vya kulala, sebule, jiko na dining na bafu. Kwa nje, nyuma ya garage kulikuwa na vyumba vya kulala 2 na bafu. So jumla bedrooms 5 na tulikuwa majamaa 5 tumepanga hivyo vyumba, tunashare hizo...
Zangu nilizopenda na sijaziona hapa...
1. HUSTLE
2. PSYCH
3. BURN NOTICE
4. LEVERAGE
5. C.S.E: MIAMI
6. WORST WEEK (Season moja tu ila sidhani kama kuna show niliyowahi kuipenda zaidi a hii)
7, NIKITA
8. RENEGADE
Kuna ukweli hapo ila ndiyo maana nikaweka takwimu. Kitakwimu pia, binadamu anaekimbia hatari Huwa ana mbio zaidi ya kawaida. Ila kiuhalisia kiwastani, komodo wa mbio kuliko binadamu wa kawaida
Naelewa mkuu. Ni kwamba tu pia nilikusoma ulisema kama vile siyo jamii Moja Kwa maana komodo ni maradufu zaidi ya kenge wengine ila pia ukasema 'ni komodo na ni dragon' kama vile komodo ni kiumbe kingine kabisa na siyo kwamba ni kenge anayeitwa komodo dragon. ile 'na ni dragon' niliona niwatoe...
Usijidanganye hapo. Hawa jamaa Wana mbio sana kuliko binadamu japo ni Kwa muda mfupi (hawana pumzi). Akiwa mbali na wewe unaweza ukapona kama utajitahidi ila akikumemdea akakukaribia na kukukimbiza basi jikabidhi tu Kwa muumba.
Tuongee statistics/ facts.... Average speed ya mwanaume ni 13kph...
Mchango wangu mdogo...
Huyu mwamba ni jamii ya mijusi🤭🤭, hasa kenge (monitor lizard). Anaitwa komodo dragon Kwa sababu anapatikana Kwa wingi visiwa vya komodo au waligundulika visiwa hivyo. Dragon ni mythical creature tu kama walivyo sphinx na pegasus ila huyu jamaa amepewa jina la utani la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.