mwenye nacho anaongezewa kwasababu amesoma shule ambayo kumsomesha tu familia lazima iwe kwenye hali ya juu kimaisha ila familia za kawaida haziwez ila huyo huyo anapewa milioni 5 na kuadiwa ajira juu sijui hawa ambao wamesoma shule za kwenda na kidumu na ufagio wataonwa na nan jaman
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.