Kwa hili la BAREGU kweli hata mimi inanitia shaka kuhusu muunganiko wa Chadema maana hadi anafariki hamna taarifa zozote kwa wadau, au mmeanza kuiga kwa wazee wa lumumba!
Ahhh sawa mama Samia awe mtumwa wa Wananchi lakini akitaka wananchi ndo wawe watumwa wake basi hapa ujue hatafanya lolote miaka yake hii minne tofauti na kudharaulika.
Magufuli kafanya kazi ngumu na yenye manufaa sana kurudisha nchi kwenye mstari inapaswa aendelee huyu mama kuiweka mstari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.