Recent content by 89ema

  1. 8

    PCCB aptitude test result out

    mbona yametoka kitambo,mpaka hp jukwaan yameshakuwa outdated.
  2. 8

    Calli for Interview stamico

    rumours kwa waliofanya interview dec 13 wataitwa ln kazini
  3. 8

    Mageologist wanahitajika

    ungekuwa brief kidogo unataka mageologist wangap,wanatakiwa na kampuni,na kuna wengne tumesoma bsc in geology na wengne with geology tunaweza kuomba.
  4. 8

    Stamicooooo

    Ehh Mwenyez Mungu mwaka huu hebu nipe furaha na mimi nipate kaz. Kusugua bench miaka miwili sio mchezo.
  5. 8

    SAIKOLOJIA: Faida ya Kuoa wanawake wa aina hii

    we jamaa ni noma,hilo kundi la kwanza yaan umepatia kabisa maana mke wangu yuko hvyohvyo.
  6. 8

    Wife Anazingua

    Acha hizo we Juma K
  7. 8

    Ajira za shanta gold mine

    kwan huwa wana muda maalum kwny mwaka ndo wanaajili??? Mi ninavyoelewa wanatoaga ajira muda wowote ule wakiwa na uhitaji.
  8. 8

    Stamico kulikoni? Mbona kimya kimetawala!

    walisema mpaka January tarehe za katikat ya mwez.
  9. 8

    Baba kwa binti aliyemzaa mwenyewe???

    mi mwenyewe nina mpenz wangu (25 yrs),ana ukaribu fulan na dingi yake mhhh mpaka naogopa.maana ukiona sms wanazoandikiana na siri wanazoambiana huwa napata maswali mengi sn.
  10. 8

    Shirka la Madini la Taifa (STAMICO) waanza kuita watu kazini Usaili wa Dec, 2013

    mhh mbona nimeanza kupanic. Ebana kuna mtu yeyote unayemfahau kaishaitwa?!!. Au ndo speculation.
  11. 8

    Stamico

    walisema mpaka January 2014.
  12. 8

    Geologist Engineers na Welders wanahitajika

    mi ni graduate geologist,ila nshafanya industrial training to some mineral exploration companies.
  13. 8

    Kwa mfumo huu wadada nawanyoshea mikono

    usimwamin mwanamke,hata kama akiwa amekufa.
  14. 8

    Jamani msaada tafadhali!nani anajua dawa ya kunuka domo ya kudumu?

    nunua chemical fulani inaitwa hydrogen peroxide(H2O2). Hlf uwe unasukutua mara 3 kwa siku.
Back
Top Bottom