Recent content by 7dollars

  1. 7

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa East Coast Team (ECT) njooni hapa tushee mangoma ya zamani

    naomba mnitumie nyimbo ya GK inayoitwa nitakupa mini mama ft karola kinasha
  2. 7

    JamiiForums Tanzania Nimemkataa baba mzazi, na sitaki kupima DNA

    yan ni sawa kabisa. na hakuna cha laana wala tambiko. huyo jamaa alitia mbegu tuu akasepa zake. ni kama mwanamke. akizaa tuu alafu amtupe mtoto angali kichanga kisha mwanamke mwingine amuokote amnyonyeshe na kumkuza laana itakayo kubalika hapo ni ya huyo alomnyonyesha na si ya huyo alozaa.
  3. 7

    JamiiForums Tanzania TCU: Darasa la saba sasa kujiunga na chuo kikuu moja kwa moja

    Kuna watu wanao uwezo mkubwa sana na walishia la saba tuu. Na kuna mambumbumbu kibao yalitoboa kimazabe na mpaka yakafika chuo kikuu hivyo hivyo, kwahiyo mi nnaiunga sana mkono hii mpango jamani, kuna mitihan kule wasojiweza watadunda tuu. Mbona wapo wanaofaullu semista zao kwa kuonga ngono???
Back
Top Bottom