Recent content by 666 chata

  1. 666 chata

    Nimemsikia Dr. Chris Mauki nimependa ujumbe wake nikaone ni-share tuujadili hapa.

    Sasa tuendelee kuchapa kazi kwa bidii, juhudi na maarifa hii si tayari ni formula au?? 😂😂😂😂
  2. 666 chata

    Tanzania hatupigi kura kidigitali kwamba mtu akiwa na NIDA tayari kapiga kura, tunapiga kura kwenye boksi zinahesabiwa mbele ya mawakala

    wewe ni raia wa kawaida inakuaje una furahia nchi yako kuibiwa na bado unatetea kabisa mitandaoni?
  3. 666 chata

    GE2025 Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo!

    wewe ni mtu mjinga na mtu duni kabisa.... hapo umejaribu kung'ata na kupuliza, haueleweki, ila shida yako ni na wewe ukumbukwe siku moja, too bad hakuna anaeweza kukumbuka sababu sasa umekwisha zeeka.0
  4. 666 chata

    Kinacho waponza Lissu na Chadema ni kutokujua hesabu. Nashauri Lissu ukitoka ndani rudi darasani ukasome upya hesabu

    Likud nakukubali sana, mie hua ni shabiki yako for years now, siwezi kuona uzi umeandika alaf nikaupita, man i like you... ila leo umeandika ujinga sana... mifano haifanani na hausemi kipi sahii kingepaswa kufanyika... anyways, you got a bad day at the office....
  5. 666 chata

    GE2025 Baada ya uchaguzi CHADEMA watashikwa na butwaa kusubiri miaka mitano ijayo nje ya siasa

    Kwani hii miaka mitano iliyopita walikuwemo bungeni?? mbona bado ni tishio sasa
  6. 666 chata

    Orodha ya Wasanii ambao hata wafanye nini hawawezi kurudi tena kwenye game... wageukie fani zingine

    Hawa ni wale wasanii ambao bado hawajaukubali ukweli na kila wakihojiwa wanasema wanaanda album au kuna kazi zao zinakuja mashabiki wasikilizie tu; 1. Q Chief 2. TID 3. Baraka da Prince 4. Young Killa 5. Mh. Temba 6. Chege 7. Rich Mavoko 8. Aslay 9. Maua Sama 10. AY 11. Fid Q 12. Joh Makini 13...
  7. 666 chata

    PreGE2025 Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!

    Wewe ni mjinga wa mwisho... ni kwanini mnaandika Makala zenu bila ku balance ukweli na uhalisia... kwa mfumo ulivyo ni kipi kinachokuonesha wewe mwandishi mjinga kwamba chadema wakishiriki watatangazwa kushinda??? Yaan kwenye unyekiti tu wa mtaa watu wameuwawa na wale wa chadema walioshinda...
  8. 666 chata

    DSM ngumu, inahitaji RC wa viwango fulani. Nashauri Antony Mtaka aletwe hapa atatusaidia sana, vinginevyo bora hata Makonda arudi

    siku nilipogundua hana akili ni pale aliposema alimuua kibaka na kuanza kusheherekea! serius tunakuaje na nchi kiongozi ana jisifu hadharani kuua?? huu ujinga waafrica utawaisha lini??? Kwa kauli yake hio, iki kimkuu wa mkoa kingekua kipo jela sasa iv... kwa hakika damu ya kijana yule...
  9. 666 chata

    DOKEZO Raia wa Rwanda wanapenyaje hadi kujazana nchini?

    Mleta Mada anatokea ngara hahahaha yeye mwenyewe sio mTanzania,,, hakuna mTanzania halisi anaetokea ngara... ingependeza uhamiaji iwaajiri watu kama huyu mketa mada, maana mwizi lazima amjue mwizi mwenzake.
  10. 666 chata

    Silent Hero Huyu ni Mzalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Ndie Aliyefanya Katiba Ifuatwe Mama Akawa!. Apewe Maua Yake!... Stahiki ni kuwa DGIS in Future!

    Paskali wewe ni mtu fake sana... hauko genuine.... yanayokutokea ni sawa tu... ujuaji mwingi na uchawa uchawa ambao haujawai ata kukufikisha popote... unasema ktk watu maarufu na wewe humo, nani anakujua nchi hii??? wewe sio mtu maarufu wala. Lini wewe uliwai kumsema vibaya magufuli ata ukafikia...
  11. 666 chata

    Dream League Soccer Special Thread

    Kikosi changu star ni izak tu na ana rate 81... alaf now nipo tier 6 na wachezaji moderate karibu wote.... kipigo nnachogawa ni cha kipekee sana, japo kuna wababe nimekubali.
  12. 666 chata

    Dream League Soccer Special Thread

    Nilikua chimbo nagawa dozi tu sina mambo mengi... jana nimeanza kucheza za online hakuna ata mmoja aliepata sare... nimeanza jana naona leo niko tier 10 na basi niko bize.. nikiwa free nadhani ntakua tier 1 ndani ya masaa mawili tu.
Back
Top Bottom