Recent content by 5525

  1. 5

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo Cha kifo Cha mpishi wa Emmanuel nchimbi wiki iliyopita?

    Na yule dereva wa gari la Heche..! coincidence eti.,
  2. 5

    JamiiForums Tanzania Tukubali kuwaachia nchi watawale wapendavyo?

    ukiona giza nene namna hiyo na alfajiri inakaribia
  3. 5

    JamiiForums Tanzania Brian Mundubile: Zambia sio Tanzania. Adai kuwa mbinu za kuiba kura zinazotumika Tanzania zinatumiwa Zambia kwenye Taifa la Kikristo

    sasa hakuna tena siri habari za wizi zimeenea hadi kwa majirani
  4. 5

    JamiiForums Tanzania Brian Mundubile: Zambia sio Tanzania. Adai kuwa mbinu za kuiba kura zinazotumika Tanzania zinatumiwa Zambia kwenye Taifa la Kikristo

    Umeumia eti? fanyeni uchaguzi wa haki musiwe mfano, mtumzima akivukwa na nguo huchutama nyinyi bado mnasimama wima aibu imeenea kote kote
  5. 5

    JamiiForums Tanzania Brian Mundubile: Zambia sio Tanzania. Adai kuwa mbinu za kuiba kura zinazotumika Tanzania zinatumiwa Zambia kwenye Taifa la Kikristo

    Tanzania..Tanzania 🇹🇿 nchi yangu imekuwa ya kutolewa kwa mifano mibaya namna hii 😭😭 . Msikilize kiongozi wa Upinzani Nchini Zambia. "UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia “mbinu (formula) ya Tanzania.” Zambia si Tanzania, Zambia si Tanzania… Hii ni Zambia...
  6. 5

    JamiiForums Tanzania Iran na nguvu zake alizonazo ameshindwa nini kuvunja US Naval blockade?

    Mbona anakokoreka bas kuhusu Homourz, Ni hivi.. US pamoja na reserve aliyonayo ni kwamba yeye atalazimika awe ni supplier mkubwa hivyo stock yake itapungua kwa kasi sana, jeuri aliyonayo ni kwamba kuna vyanzo vyengine duniani ikiwemo hiyo njia kuu ya Hourmoz ambayo 25% ya mafuta duniani hupita...
  7. 5

    JamiiForums Tanzania Iran na nguvu zake alizonazo ameshindwa nini kuvunja US Naval blockade?

    Naval blockade ya US haipo kwenye mipaka ya Iran nakusudia kwenye bahari ya Iran, ipo international waters, na huko ni haki ya kila mtu kuko huru na US hawasubutu kusogelea maji ya Iran. Iran ni mwamba ameweza kuishi kwenye vikwazo vya ulimwengu kwa miaka 47 na mziki wake ndo unauona ule...
  8. 5

    JamiiForums Tanzania Gawio la Yas halifai kwa sisi waislamu

    Watu wa ukumbi huu toka juzi naona tunapata gawio la YAS wanaita HALAL, hizi ni hela ambazo binafsi sijui zinatoka wapi wala kazi ipi nilifanya mpaka nikapokea malipo haya, kwa lugha rahisi hii ni riba na kwa sisi waislam riba imekatazwa kwa mujibu wa Imani yetu ya Dini ya Kiislam, YAS waache...
  9. 5

    JamiiForums Tanzania Houthis yalipua matenki mafuta ya ARAMCO, Saudia

    Houthis ni jeshi kamili hakuna kenge anayeweza kuwasambaratisha, halaf saudia arabia hawana jeshi labda wapate msaada kutoka mataifa mengine
  10. 5

    JamiiForums Tanzania Israel anataka kuiangusha Dola ya marekani (world superiority) marekani ameshtuka kabla mambo hayajaharibika

    kwa mantiki ya hivi vita Iran ndiye aliye miliki uchumi wa dunia, trump alikuwa ana haha kukubaliana na iran kuliko vita, kwa vita US alishindwa mapema sana
  11. 5

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kampala: Dar ni Kiwanda kikubwa sana cha kuzalisha Mashoga, nini kauli ya Serikali?

    Mwakiyembe alisema bara imechafuka kuna vyuo pia
  12. 5

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kampala: Dar ni Kiwanda kikubwa sana cha kuzalisha Mashoga, nini kauli ya Serikali?

    wakati mwengine hela, hawa wabara hela wanaipenda sana
  13. 5

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kampala: Dar ni Kiwanda kikubwa sana cha kuzalisha Mashoga, nini kauli ya Serikali?

    Bongo huko ndio maana wanalegeza suruali
  14. 5

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kampala: Dar ni Kiwanda kikubwa sana cha kuzalisha Mashoga, nini kauli ya Serikali?

    Zanzibar ushoga wapi na wapi, huko huko ndiko kwenye vyuo
Back
Top Bottom