Recent content by 5523

  1. 5523

    Vita mpya yanukia dhidi ya Iran. Ikitokea itakuwa ya mda mrefu au mfupi?

    Kwanini anasita siku zote hizo, je wameshaboresha pia mahandaki ya kujificha chini ya ardhi?
  2. 5523

    Vita mpya yanukia dhidi ya Iran. Ikitokea itakuwa ya mda mrefu au mfupi?

    Iran kila idadi ya askari walionao wote ni makamanda ata Ayatollaa ana mrithi wake akiuliwa leo kesho atakaa mwengine na utachoka mwenyewe
  3. 5523

    Trump anaisaidia Nigeria kuwaangamiza Boko Haram kwa bile wanaua watu

    Ana jambo lake mkuu subiri kidogo utaskia, nigeria inazalisha mafuta kwa wingi sana kama ilivyo kwa za mashariki ya kati
  4. 5523

    Vita mpya yanukia dhidi ya Iran. Ikitokea itakuwa ya mda mrefu au mfupi?

    Unachukulia poa sio? kuanzisha mashambulizi kwa Iran maana yake ni kupotea completely kwa taifa bandia liitwalo Israel
  5. 5523

    Wakristo Syria washeherekea Krismasi chini ya mtutu wa bunduki

    Sasa kama wanasherehekea kwa mtutu wa bunduki maana yake nini? usishangae wengine wamekodiwa kusherehekea
  6. 5523

    Israel yaiomba ruhusa Marekani iishambulie Iran, URUSI yaondoa wanadiplomasia Tel Aviv

    Iyo kuomba ruhusa yoote ni woga uliopitiliza, CIA aliyetoa siri ya mashambulio makali kutoka Iran dhidi ya Israel na kwenye kambi za Marekani zile siku 12 za hivi karibuni amefukuzwa kazi wiki iliyopita
  7. 5523

    NATO na Ukraine wamekubali yaieshe mbele ya Putin

    Unapoamka asubuhi unafikiria kuandika chochote tu hapa jf.,
  8. 5523

    GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

    It is good for nothing nafkiri kila kitu kipo uwanjan
  9. 5523

    Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

    Amevaa mavazi meupe, Ivi kwani Yesu ni Mtu?
  10. 5523

    China kuivamia Taiwan muda wowote - Makamu Wizara NJE Taiwan

    Kama ni mtoto wa china, mchina anasubiri nini sasa? anazingira zingira mwaka wa 3 sasa hajamgonga ata nzi
  11. 5523

    China kuivamia Taiwan muda wowote - Makamu Wizara NJE Taiwan

    Wataishia kuzunguka tu China ni Taifa lenye hofu na woga wa hali ya juu kabisa linapokuja suala la kupambana na US kwenye vita., China wenyewe imezungukwa pia tayari nafkiri hii ndio sababu, jirani wa china kama Australia upande ule, South Korea, Japan na hao Taiwan wenyewe wote ni vibaraka...
  12. 5523

    Trump aiambia Israel iwamalize Hamas haraka

    Mungu ni mjuzi wa kila kitu, hatima ya nchi ya Palestine na wapalestina imo mikononi mwake
  13. 5523

    He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

    Sawa kwa Quran: Je kwa biblia katika utafiti wako uligundua lugha rasmi ya Biblia?? Maana naona leo kila mtu anasoma biblia kwa lugha yake tofauti na Quran tunaisoma dunia nzima kwa lugha ya Kiarabu, tutajie lugha ya biblia ilivyoshuka hassa ni ipi, lugha biblia ni ipi?
Back
Top Bottom