Wawe ni panya road au sio, kuna utawala wa sheria. Walipaswa kufikishwa kwenye vyombo vya sheria baada ya uchunguzi na sio kuuawa kikatili namna hiyo. Tusitumie hisia kujadili mambo.
He is no more, get used to it. Ni kama unateseka, kama alikukosea msamehe, kukaa na chuki itakutesa zaidi.
Wakati huu ni kupambania katiba, piga kelele juu ya mfumko wa bei kwenye bidhaa, bila kusahau wazee wa kula kwa urefu wa kamba zao.
Unajifunza kuwa chawa, jitahidi akili iwe inachaji sasa, ili wasomi wakisoma mabandiko yako wapate kushawishika. Next time usipoteze muda wako kuandika ujinga kama huu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.