Recent content by 4GB Fulltinga's

  1. 4GB Fulltinga's

    Upigaji wa FATAKI uelekeo wa juu

    Ndio nimekupa tu ushauri kwamba hebu ulijaribishe halafu matokeo utuletee hapa tutakuwa tunayasubiri
  2. 4GB Fulltinga's

    Swali kwa wana ndoa tu

    Nyie wa kujifanya mnanyamaza ivo ndio huwa tunasoma magazetini kuwa 'amkata map**bu mumewe kwa wivu wa kimapenzi' Au 'amnywesha mtoto wake sumu nae kuinywa baada ya kumkuta mumewe na kidosho kwny gari'
  3. 4GB Fulltinga's

    Swali kwa wana ndoa tu

    Halafu mkifika nyumbani unamfanyaje
  4. 4GB Fulltinga's

    Upigaji wa FATAKI uelekeo wa juu

    Ili uweze kujua huwa fataki linafanyaje kazi kama litaelekezwa mlalo wa kushoto/kulia ama chini..... Nunua halafu uliwashe kisha ujielekezee hata usoni au tumboni, majibu ya hapo utatuletea hapa
  5. 4GB Fulltinga's

    Pengo Kumtembelea Gwajima Leo mchana Hospitali

    Yani we ndio zuzu kweli, yani unashabikia huo upuuzi wa mfufua misukule
  6. 4GB Fulltinga's

    Tamko la Maaskofu na Wachungaji wa Kipentekoste juu ya kuugua ghafla kwa Askofu Gwajima

    Alichokisema Pengo ni kwamba yeye amemsamehe Gwajima na wala hana kinyongo nae chochote kile lakini pia hawezi kuingilia hatua za kisheria zinazoendelea kuchukuliwa dhidi ya ya Gwajima
  7. 4GB Fulltinga's

    Huyu ni mke wa rafiki yangu kabisa

    Kama ni mimi niko tayari jamaa aniambie, na sintomuwekea kinyongo zaidi ya kukaa na Kuchunguza, kamwe siwezi kumwambia wife kuwa hizi taarifa nimepewa na nani
  8. 4GB Fulltinga's

    Huyu ni mke wa rafiki yangu kabisa

    Hata dunia ingenishangaa kwenda kupambana kwa ajili ya mke mtu mwingine!!!!!
  9. 4GB Fulltinga's

    Huyu ni mke wa rafiki yangu kabisa

    Anapatikana mtaa tunaoishi, na wala haujakosea kabisa shemeji yuko vizuri mno
  10. 4GB Fulltinga's

    Huyu ni mke wa rafiki yangu kabisa

    Cjafurahi mkuu ndio maana nikasema kwamba hali ile imenikosesha raha na amani ya moyoni
  11. 4GB Fulltinga's

    Huyu ni mke wa rafiki yangu kabisa

    Hapo ndio pabaya sasa, mtu analeta mizaha kwny suala zito kama hilo
  12. 4GB Fulltinga's

    Huyu ni mke wa rafiki yangu kabisa

    Labda anaweza kuwa anajua, lakini inawezekana vp ajue halafu avumilie
  13. 4GB Fulltinga's

    Huyu ni mke wa rafiki yangu kabisa

    Anaonekana kuwa ni mwanamke wa heshima zake kabisa, mume wake ni rafiki yangu tuliyeshibana sana tangu utotoni hadi sasa, huyu rafiki yangu ni mtu wa kusafiri safiri sana, Jana baada ya kutoka kwny pilika za hapa na pale nikaamua kupitia kwny club moja ambayo pia huwa kunapigwa muziki wa dansi...
Back
Top Bottom