Recent content by 4change

  1. 4

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali na Wanachuo wa Chuo Kikuu Bugando wafukuzwa Chuo

    I am sure njia zote zinazotakiwa kutumika zilitumika....kama umewahi kusoma katika "chuo kikuu" kama UDSM au MUHAS et al utakuwa unafahamu haya mambo vizuri.Mara nyingi kama sio zote viongozi wa wanafunzi kwa ujumla wao hawawezi ku'take risk kubwa hivyo kama hawajapitia hatua zote na...
  2. 4

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali na Wanachuo wa Chuo Kikuu Bugando wafukuzwa Chuo

    Taasisi ya kanisa haikupaswa kuwa sehemu ya mfano wa kuigwa kwa kutoa, kutetea na kulinda haki za wanaowahudumia? haikupaswa kuwa ndio sehemu ya kuigwa na taasisi nyingine kwa kutokuwa na harufu ya matumizi mabaya ya fedha au madaraka?
  3. 4

    JamiiForums Tanzania WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

    Huyu muhubiri wangu hapa kama hafanyi makusudi kupotosha hayo mambo...basi kuna walakini mkubwa katika uelewa wake wa mambo.....
  4. 4

    JamiiForums Tanzania ITV vs Rais Magufuli na CCM

    Wacha chuki za kijinga wewe!..unafikiri wewe tu ndo unayeangalia TV?..they ar reporting haya mambo perfectly well...they are professionals hawaendeshwi na mihemko ya kijinga kama wewe!....to hell na mikakati yako ya kuleta chuki katika jamii yetu
  5. 4

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Nehemia Mchechu wa NHC ni USD 19,000 kwa mwezi

    This is shit nonsense!...kwa kama shirika linaingiza faida ajigawie yeye hiyo faida?..hilo shirika ni la kwake?...si aanzishe kampuni yake?....kwa hiyo na mawaziri,makatibu wakuu wagawiane faida zinazopatikana kwenye wizara zao?....wanaofanya kazi hazina,tra bandari nk wajigawie faida au...
  6. 4

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya miaka 54 ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Kwa usafi wa siku moja mkuu!..acheni utani
  7. 4

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Fedha za hafla ya Bunge zinunue vitanda Muhimbili

    Hii inathibitisha yalotolewa na zile tafiti zilizompa mheshimiwa ushindi..... Who told you the problem at Muhimbili is lack of beds?.... Tuache kushabikia vitu ki..jinga jinga tu!...Ushawahi kuingia kwenye wodi za muhimbili?
  8. 4

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Fedha za hafla ya Bunge zinunue vitanda Muhimbili

    Shida ya kufanya mambo kwa kukurupuka....sasa sijui hivyo vitanda wataenda kuviweka nje ya mawodi wawalaze wagonjwa huko au wataviweka wapi!!!!!...loool
  9. 4

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Fedha za hafla ya Bunge zinunue vitanda Muhimbili

    Hiyo ni michango iliyotooewa kwa ajili ya party.....yeye si angeanzisha mchango kwa ajili ya kununulia vitanda Muhimbili?..aliomba mchango wakakataa kutoa?......sioni kama ni jambo la kusifia saaana......
  10. 4

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu abomoa hoja za UKAWA, Asema hazina mantiki kikatiba!

    mmmm ina maana mpaka ujue sheria???!!!!??....sasa kuna jambo gani gumu uliloelezea hapo amabalo mtu mwingine akiisoma hiyo katiba hataelewa mpaka awe anajua/amesomea sheria? Jambo gumu ambalo linaweza labda kueelezwa na wanasheria ingekuwa ni kuelezea kinyume chake...Yaani kwamba Sheni sio rais...
  11. 4

    JamiiForums Tanzania UKAWA wamwandikia Spika kutaka kujua uhalali wa Rais JPM kuhutubia Bunge bila matokeo ya Zanzibar

    Mkuu hiyo katiba ndo iko hivo au umekosea wewe?....maana ya MTU HATAENDELEA kuwa rais ni nini?...au wenzetu wana kiswahili cha tofauti?.....Hebu soma tena hiyo quotation yako ya hicho kifungu cha katiba......inaleta maana?
  12. 4

    JamiiForums Tanzania KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

    uzalendo ndo nini mkuu?....Hapa Kazi Tu....alaaa
  13. 4

    JamiiForums Tanzania Wananchi wapigwa mabomu ya machozi wakienda kushuhudia mwili wa Alphonce Mawazo hospitali ya Bugando

    So sad!...Mungu ailaze pema roho yake Amen
  14. 4

    JamiiForums Tanzania Dr. Tulia achukua fomu ya kugombea Unaibu Spika CCM

    Huyo hapo mkuu
  15. 4

    JamiiForums Tanzania Wananchi wapigwa mabomu ya machozi wakienda kushuhudia mwili wa Alphonce Mawazo hospitali ya Bugando

    Polisi wa nchi hii sijui weledi wao uko wapi!
Back
Top Bottom