Ndio maana kijana nakushauri usiweke obsession mbele. Obsession ni changamoto ya afya ya akili. Unaongelea jambo bila evidence, unaliweka akilini unalizungusha humo hadi linakuchanganya. Unajipa ru sonona mwenyewe.
Kama unadhani kuna jambo kama unavyosema serikali inafanyia watu hayo maovu...
Yaani aina ya watu kama hawa walioleta hii mada hawana shughuli za kujiingizia kipato za kujishughulisha nazo. Pili ni watu wanaojisikia hawana thamni duniani. Yaani wana low self worth. Sasa kutengeneza story kama hii yenye udanganyifu na kuona watu waki reply ndio kwake naye anajisikia ahh...
Mleta mada kasema kwamba kwenye hiyo taarifa eti genge limetajwa. Ukiisikiliza hiyo taarifa genge halijatajwa. Sasa hadi hapo kila mtu anajua kuwa mleta mada ana changamoto ya afya ya akili. Hawezi sema genge limetajwa wakati genge halijatajwa.
Nadhani watu kama hawa huyu mleta mada maisha...
Kuna vitu vingine huwa nashindwa kuelewa. Inawezekana watz wengi wana tatizobla changamoto ya afya ya akili. Sasa mleta habari anasema bbc imelitaja genge watu wanategemea umewaletea taarifa ukiwaweka wazi hao waliotajwa ili kila mtu awajue. Sasa wewe unachofanya kinamsaidia mtu kivipi anayesoma...
Mleta mada umeleta hiyo mada kulingana na wewe unavyodhani. Mimibnadhani chanzo cha hasira za hao watu unaowaongelea na watu wengine wenye hasi, inawezekana kuna wenye hasira kutokana na labda matukio ya hovyo yaliyowatokea ndugu zao yanayohusiana na masuala ya siasa nk lakini asilimia ya ukubwa...
Habari. Shambani kwangu nina miti ya maembe 10 ambayo haizai Tena nimeamua kuikata. Kwa ambaye anafanya biashara ya kuuza kuni kwa wingi anakaribishwa kuja kununua miti hii.
Iko miti 10 kila mti nauza sh 20,000. Ukija utakatiwa kwa kila mti sh 5000 kama tu posho ya mkataji wangu. Ukishakata...
Mambo vipi. Kwa wajuvi wa mambo hebu tuelezeni mbona tukisoma taarifa nyingi za habari kuhusu wizi wa magari utakuta ni Toyota Noah zinaibea sana na zaidi hasa Kilimanjaro na pia Nairobi. Zina ni I hasa Hadi wezi waziibe sana?
Pia unafanyaje ili ulinde gari lako dhidi ya wezi wa namna hii?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.