Recent content by 2v1

  1. 2v1

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Watu mna roho ngumu, mmmmh hii supu sinywi.
  2. 2v1

    Inauma lakini ndio maisha unakubaliana nayo

    Hongera kwa kuwa mkweli, ila kwenye haya maisha usijaribu kujilinganisha na mtu, tambua safari unayosafiri ni ya peke yako.
  3. 2v1

    Tabia ya Hawa wafanyakazi wenzangu, inaninyima raha

    Shida nayoiona ni mazoea yamezidi, vitu vingine vinakera.
  4. 2v1

    Tabia ya Hawa wafanyakazi wenzangu, inaninyima raha

    Wabandikie huu msitari nyuma ya gari lako, Mithali 25:17 Mguu wako usiingie katika nyumba ya jirani yako ila kwa kiasi; Asije akakukinai na kukuchukia.
  5. 2v1

    Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

    Kumbe tuko wengi, hii hali nashindwa kuelewa hata mimi ni mtu wa kukaa mwenyewe sana tu, nikiwa na rudi nyumbani usiku huwa nahisi hivyo, kuna muda nahisi hasira sana, kukataliwa na jamii, kifupi najitahidi kuwa wa kawaida ila kuna muda ni ngumu.
  6. 2v1

    Changamoto ya kupata mke

    Vihisia fulani hivi.
  7. 2v1

    Kwanini hujaoa ama kuolewa hadi sasa??

    Kiukweli mambo ya ndoa ni magumu, lakini lazima mkumbuke wapo baadhi yao wanafurahia ndoa. Ndoa ilianzishwa na Mungu mwenyewe, ni rehema zake tu na yeye ndie atakaye fanikisha.
  8. 2v1

    Kwanini hujaoa ama kuolewa hadi sasa??

    1 Wakorintho 7:1-9 1 Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke. 2 Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe. 3 Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki...
  9. 2v1

    Tafadhali sana piga kura yako hapa: Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi? Ndio au Hapana

    Nadhani tuanzie mstari wa juu ambao ni, Ufunuo wa Yohana 22:11-12 11 Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa. 12 Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama...
  10. 2v1

    Je, nini kifanyike kuboresha urafiki wa msichana na mvulana/ mwanamke na mwanaume?

    Ndiyo, sisi wanaume tumejawa na tamaa sana, me najionea shida kuwa na urafiki na wasichana. Ni shida tu.
  11. 2v1

    Je, nini kifanyike kuboresha urafiki wa msichana na mvulana/ mwanamke na mwanaume?

    Labda lika tofauti ila lika letu hili vijana tumejawa na tamaa sana.
Back
Top Bottom